Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe ๐Ÿ™‚

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Youโ€™re back mwanakwetu?

Yani wewe usingesumbuka mimi pdf nilikutunzia mwenyeweโ€ฆ Achana na hao mapampula waliokutumia screen shot pm..!!

Kwa kifupi de gunner kajipakulia minyama mpaka misamaki kwamba wewe chombo yake eti..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mi kama kawaida yangu napenda kusikia umbea na umbea umeletwa sa nifanyaje? ๐Ÿ˜น

Muhimu de Gunner athibitishe hapa na wewe ukiwepo? Au unasemaje mwanakwetu?
 
Eti ulikasirika kisa kalike comment ya crush wako ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kumbe mna macrush na hamsemi? ๐Ÿคฃ
 
Ndio maisha ya humu ndani ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ unaweza kudhani watu wanarushiana maneno ukadhani mada iliyoko mezani imechanganya kumbe wenzio wanagombea bwana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Bwana ambae wote hamumjui na yeye hana hizo taarifa zenu, kama matahira๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ