Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,548
- 35,107
- Thread starter
-
- #81
Mimi sipendi kuwa addicted na kitu chochote, wala kupoteza control ya tabia au mienendo yangu.Hongera, unajua wengi wana log out ID ya Majuto na ku log in ID ya Ngosha, sasa kama wewe unaweza kupotezea mitandao hadi usijue kinachoendelea kabisa manake bado hujaathirika na kuwa online hasa jf. Hii kitu naitaka, nitafanyaje, bado sijapata solution.
WA kina nani hao wataje niwachape na kuwa adhibu hadharaniNimejiweka mbali nae yeye ila wagonjwa wenzake wanapanga foleni huko upenuni kunipaka mavii π
Safi sana, kumbe ana wenzake, hebu nitonye na mimi nikae nao mbaliNimejiweka mbali nae yeye ila wagonjwa wenzake wanapanga foleni huko upenuni kunipaka mavii π
Unaweza kukaa 24hrs bila kuzurura online kabisa?Mimi sipendi kuwa addicted na kitu chochote, wala kupoteza control ya tabia au mienendo yangu.
Nikiona napenda sana kitu, wakati mwingine naacha tu ili kujipima kama sijajitengenezea utegemezi. Nina discipline na a very strong will, inanisaidia.
Hutoweza kukaa nao mbali ni marafiki zako wa kutupwa π πSafi sana, kumbe ana wenzake, hebu nitonye na mimi nikae nao mbali
Hebu kuwa specific kidogo hapa mkuuunajua wengi wana log out ID ya Majuto na ku log in ID ya Ngosha,
Sasa mbona kapu lake halitunzi yai hata moja?Anatumia vizuri msemo wa usiweke mayai yote kwenye kapu moja
Aisee.... Dunia haina hurumaSasa mbona kapu lake halitunzi yai hata moja?
Kwasababu ni mtoto! Acha aendelee kutuita shemegi mpaka akikua.Sasa mbona kapu lake halitunzi yai hata moja?
Naweza, pia kukaa bila simu wala kuangalia whatsapp au kukaa hata bila internet kabisa.Unaweza kukaa 24hrs bila kuzurura online kabisa?
Hii sasa ni kuvuka mipaka..Kwasababu ni mtoto! Acha aendelee kutuita shemegi mpaka akikua.
Weka fensi.!Hii sasa ni kuvuka mipaka..
Mbona unanitisha sasa πHutoweza kukaa nao mbali ni marafiki zako wa kutupwa π π
Unatakaje?Hebu kuwa specific kidogo hapa mkuu
Siwezi weka kwako niachie wangu wa ndani Binti wa zamani... Unajua nimesacrifice my own soul kwa ajili yake?Weka fensi.!
Uliposema ngosha ulimaanisha nini?Unatakaje?
Huu uzi una kitu! Acha nikeshe naogopa nikilala nitapitwaHutoweza kukaa nao mbali ni marafiki zako wa kutupwa π π
Ila uzinzi, hebu malizeni kuzika kwanza πAlooh hapa msibani kuna kuna pisi kali kali sana kama koo za kihabeshi hizi
Ni humu tu, mjomba hana shoo mbovuAnyway karibu mshangazi.com wa jyfu mjomba wa mabuti alikuweka bize sana kipindi hiki
Aisee, safi sana!Naweza, pia kukaa bila simu wala kuangalia whatsapp au kukaa hata bila internet kabisa.
Na napenda, naweza kwenda porini huko hata siku 3 bila network.