Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe πŸ™‚

Ulehaya maneno madimu sana mwanike, unene nakutogilwe ubebe duhu,

When you were gone, I prayed day and night to Atleast get a glimpse of you.. Welcome back my love 😍
Ndiyo maana ShesRise_1 alikupiga ban kumuongelea, hebu niunganishe na hiyo ban yake na ujitahidi kukaa mbali sana na mimi!
 
Humu ndani bwana 😁😁 kama ulivyosema hapo juu unaweza kujikuta umejiingiza kwenye ugomvi mbao huujui, kisa umejiunga kwenye kakikundi ambako hata wewe hujui kwamba ni kakikundi
 
Long time ulienda wapi?
Nilikua nafanya tafiti ya vitendo kuhusu orgasm, nime-explore a new frontier nikawa sitaki kabisa kurudi huku duniani kwa hawa wamatumbi.
Eti inasemekana de Gunner anayasambaza mtaani kuwa mimi na wewe tunamilikiwa na yeye na kwamba ametuonea huruma sisi sio type yake 😩
The only place anaweza kutumiliki ni ndotoni, akiamka anajikuta kakumbatia mbupu zake anapata makasiriko anakuja kuandika manyuzi yake ya hovyo hovyo humu!
Kuna mambo mtaani. (Kwa sauti ya Diamond)


Acha tu πŸ˜†
 
Ndiyo maana ShesRise_1 alikupiga ban kumuongelea, hebu niunganishe na hiyo ban yake na ujitahidi kukaa mbali sana na mimi!
Sasa nyie mnaniacha mm nifanye je sasa,


Imagine binti kiziwi kanifukuzia mrembo wangu na kuifanya nia yangu kwa ShesRise_1 kuota mabawa na pia ephen_ kunipakazia stori za uongo ili mradi tu mm na wewe uhusiano wetu ubomoke..

Mwanike, our souls are intertwined.. No one can separate the two of us. You know that too.
 
Mimi nimepakaza maneno gani tena?
 
Alooh hapa msibani kuna kuna pisi kali kali sana kama koo za kihabeshi hizi

Anyway karibu mshangazi.com wa jyfu mjomba wa mabuti alikuweka bize sana kipindi hiki
 
Moja baada ya jingine utayajua yote!

Siku hizi amebadilika sana acha tu! Kuna siku kaanzisha uzi anapenda harufu ya k uzi ukaenda na maji!
Anapenda nini πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜², daaah πŸ˜‚
Amesema sisi sura za baba hakuna kuomba pesaπŸ˜†
Kwamba sisi si wanawake au sisi tuombe nini sasa?
Mwenyewe siku hizi simuelewi kabisa🀣
Dunia inaenda kasi sana πŸ˜‚
 
ila naomba mniwekeeni hapa nyuzi zenye tija
leo dada alitupa mambo yake!!!!!!! Anapenda sana ukuni hasa akiona hela!!!!!!!!!






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…