We unamuonaga akiwa serious kweli🤣Muonee huruma, naye katoka kuachika, sasa hivi yupo serious anataka kuoa. Kamdomo atapunguza 😂
Kwamba toto la kidigo na mautundu yake yote halijakukidhi haja zako? au unataka kusemaje?Naongeza mke wa pili 😎
🤣🤣kwanini hujapenda jioni hiiBora ungenikataa usiku hii jioni hapana kwakweli
Sijapenda 😂
Ana upwiru ila kwa sababu tumesema apunguze kamdomo hataweza kujibu so namsemea!🤣🤣kwanini hujapenda jioni hii
Nabadilisha ladha 😎Kwamba toto la kidigo na mautundu yake yote halijakukidhi haja zako? au unataka kusemaje?
Ndiyo amekaa kama anatania ila yuko serious, halafu mcheshi mwenyewe 😂We unamuonaga akiwa serious kweli🤣
Daaah, yani nilijua mdigo atakutuliza na mahaba ya kitanga, kumbe bado unataka na tamu nyingine 😂Nabadilisha ladha 😎
Burudika mamieJF raha sanaaa.....