Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 3,175
- 7,725
Huyu labda akatwe ulimi😅Ana upwiru ila kwa sababu tumesema apunguze kamdomo hataweza kujibu so namsemea!
Huyu labda akatwe ulimi😅Ana upwiru ila kwa sababu tumesema apunguze kamdomo hataweza kujibu so namsemea!
Ndio tena haraka la sivyo huu msemo utatumika "mchelea mtoto mzuri humkuta si wake" 😎Ajiteteeee mwenyewe🤣
🤣🤣🤣🤣huu msemo umeutoa wapiNdio tena haraka la sivyo huu msemo utatumika "mchelea mtoto mzuri humkuta si wake" 😎
Ni wangu, Nimeanza kuwa mhenga 😁🤣🤣🤣🤣huu msemo umeutoa wapi
Na mkorofi juu😅Ni wangu, Nimeanza kuwa mhenga 😁
Hao ndo wahenga wa kisasa 😎Na mkorofi juu😅
Msemo mmoja ushajiita mhenga🤣🤣ila dosho wwHao ndo wahenga wa kisasa 😎
Toa hoja kijanaNafatilia kwa makini nikiwa live bila chenga😎
Sina usemi, nasubiri ukubalie watu nije nichangie michango ya harusi tuToa hoja kijana
Utasubiri sana tuSina usemi, nasubiri ukubalie watu nije nichangie michango ya harusi tu
Vipi tena, kuna shida? Hutaki tule bwabwa?Utasubiri sana tu
Bwabwa utakula kwako😁Vipi tena, kuna shida? Hutaki tule bwabwa?
Aisee, kwa hiyo hata harufu sinusi?Bwabwa utakula kwako😁
Hamna harusi hapaAisee, kwa hiyo hata harufu sinusi?
Nani amekuita? Hebu pisha humu watu wabebishane vizuri, niece wangu asije kumkosa mpenzi wa moyo wake!Nafatilia kwa makini nikiwa live bila chenga😎
Naburudika dada akee...😅Burudika mamie
Namimi nimerudi siku sio nyingi humu JF...najaribu kusoma yaliyojiri ila naona kasi imepungua sana majukwaaniNafurahi kama unafurahi.
Njoo huku unipe dukuduku, nimemiss stori zako!