Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe πŸ™‚

Nipo na Gen Z kama huyo the Gunner.
Gen z Walinikuta maskani nimechill
Sina hili wala lile
Wakasema broo tutoke kidogo.

Mama mtu yuko mkoani amefuatilia biashara yake ya vijola.
Haya furahia maisha, ikitokea umepata matamanio ukashindwa kujizuia, usifanya ngono zembe ukaja kumletea mamtu magonjwa.

Enjoy!
 
Kama hamtembei na code niambie basi mabwana walioibiwa na aliyewaiba πŸ˜ŽπŸ˜‚
Huyo wanamzushia naona, ila ni kama analiwa mingle hivii..!! 😹

Shida ni hao maex uduguu wote wamependa sehemu moja..!! πŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
 
Usinihusishe huko kwenye kumpoteza, mm n mfano wa kuigwa, ww kama n maandazi bc n ww mwnyw πŸ˜‚
Wewe hapo unatataka kumpiga na kitu kizito huna loloteπŸ˜‚

Ombaomba, sijui lakini huenda utajikaza kwa huyu😎
 
Wewe hapo unatataka kumpiga na kitu kizito huna loloteπŸ˜‚

Ombaomba, sijui lakini huenda utajikaza kwa huyu😎
Ila mwanangu ww unajua kunichoma sana 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…