Sasa kama wenye nchi wametunyima amani si walau tuwe nayo ya kwetu basi ππΉπΉπΉ Nchi yenyewe haina amani sisi amani tuipate wapi??
Wemzako wanaandaa nyuzi wewe unakuja direct, utasanda πJNtumie kwenye ile namba kesho nile Ht mihogo
Au wewe ndiyo yule dada wa dukuduku na hatujui πSi mtoe madukuduku mioyo itulie sio kubwatuka na kuugulia moyoni aiseee πΉπΉπΉπΉ
Chambaneni kila mmoja amuheshimu mwenzie..!! Ila ushoga wa JF JAU SANAβA πΉ
Kwahiyo mwenzenu kakomaa mbibi πΉπΉ khaaaaaβ¦!!
Kumbe mlikuwa mmekubuhu! Kwahiyo wa sasa wanajifunzaπ
Kabisa!!
Moyo unataka kusuma mapenzi sioπ
Itabidi achangamke tule pilau decπ
Bali .........La hashaβ¦
Ila najua hapo karoho kamekuuma Ila Ndo hvy unakaza, mama labla unaona hii nyau?
Hebu hapa ngoja niweke kizuizi.Bali .........
Au bora unipe mm π₯±Haiwezekani kabisa, bora nijibake aiseeh, kuliko kuwa na jitu la hovyo hivyo!
πΉπΉπΉ Wala hakuna code mambo ni yale yale ya kila siku, kubebeana mabwana na kila mmoja kutaka kuonekana yuko juu kuzidi mwenzie.. na urafiki wa kingese ndo chanzo kikuu πΉ
Kadada kachawi sana hako π
Naona siku hizi simuoni sanaYule yupo sis
Nimetoka kumtaja majuzi tu hapa kwenye uzi fulani
Yule sasa ndio nyongo mkalia ini lakini hanitakagi
Last seen yake 26 mins ago π€¨
Hamia upande wa pili, halafu humu mabint wabichi wapo kibao wanahaha huko, wewe umenikazania mimi singo maza! Au nawe kila ukijaribu hawakutaki huna mia? Huna tofauti na psl goodπTi waviStage niliyofikia n mbaya, au ubavu wangu wa kushoto ni Single mothers na mm siwataki hao watu?
ππ Hii ndio ile unatupa ndoano uvue samaki unanasa chura au nyokaKwenye kujaribu kuna kukosa π
Nilishakwambia ba mjengo ana bastola, utapigwa risasi ya katikati ya makalio, upate kilema cha maisha!Au bora unipe mm π₯±
Imeisha, ww n muelewa ndo mana naona watoto wangu wakicheza kwenye uterus yako πSasa baba labla
Nipe dakika 0 nalala π
Naona siku hizi simuoni sana
Ila ana matatizo kwa nini hakutaki?
Anyway it's his loss π€£π€£
I wish ningekuwepo zamani nahisi kama ningeparticipate vzr, sasa hivi nina adabu kidogo na mambo niyapendayo siyapatiπWa sasa wapo TWISHENI
Wahenga wa vikundi enzi zile sio wa kitoto π
Hahahaha aisee moyo wako ni mkuu, mimi wangu unasukuma umbea at the momentπ€£Moyo unasukuma maloveee tu kmmk π
Kadada kachawi sana hako π