Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe πŸ™‚

JF ya sasa bado ina hizi mambo kumbe

Nilidhani tuliyaacha 2016 - 2020 huko wakati ule nasikia watu wana vikundi vyao humu vya kukingiana vifua kwenye shida na raha πŸ˜‚
Mlikuwa wa dhahabu, sasa ni full ushangingi😁
Sema mie sijui nina shida sehemu, miaka yote hii nimeshindwa kupata kakikundi hata kamoja ka kunitetea hata jinsia yangu tu? 🀣 kuna sehemu siko sawa
Wenzio wanavyo we unakwama mahalaπŸ˜‚
Ifike mahali nipate hata ka-crush ka kugombaniana na watu wa humu kmmk
Crushie zangu mshamba_hachekwi na The Icebreaker nisiwaone mnacheka na jinsia inayojitambulisha kama ke humu 🀨
Hizi crush umezichagua kwa vigezo vipi? The ice breaker anachamba huyooo🫒

Ila hiyo crush ilikuwa utani tu jamani naona watu limewagusa mpaka wanataka kutoa siri zao za nje, sijui wanamtishia naniπŸ˜†
 
😹😹😹😹

Wewe yule uliyemchamba fake p mpaka akaomba uwanja selfika au mwingine??

Em yaseme hayo unayoyajua ila hutaki kuyasema kwanza ndo tukutoe..!! 😹😹

Weyee bhana mambo unayajua em mwagika hapa utoe dukuduku mtaishi kwa kufumbiana mpaka lini? 😹
 
Kwishaaa hakuna shida hapo.

Nimeona mnazungumzia kikundi. Kiukweli na mimi nahitaji kijiji, mkipata kikundi mnichomeke, Nimegundua umbea mwingi wa humu huwa unanipiga kisa sina kijiji. 😩

Asee miaka hiyo ilikuwepo ID moja hivi
Nikikomenti jukwaani kuomba ubuyu wa jambo fulani tu, yeye anakuja PM kimya kimya na maelezo + links za uzi zenye details za ubuyu wenyewe πŸ˜‚

Sijui alipotelea wapi yule reporter wangu

Kama huna kakikundi chochote kama mimi basi usifunge PM just in case kuna msamaria mwema πŸ˜‚
 
Asee miaka hiyo ilikuwepo ID moja hivi
Nikikomenti jukwaani kuomba ubuyu wa jambo fulani tu, yeye anakuja PM kimya kimya na maelezo + links za uzi zenye details za ubuyu wenyewe πŸ˜‚

Sijui alipotelea wapi yule reporter wangu
Dah huyu alikuwa mwana kabisa. Popote alipo arudi.

Kama huna kakikundi chochote kama mimi basi usifunge PM just in case kuna msamaria mwema πŸ˜‚
Nimeshaijua siri, utekelezaji unafuta. πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…