Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,817
- 58,462
- Thread starter
-
- #501
Wa kuzaa staki mke hapo badae apitie yale machungu aiseee ...Uchungu wa kuzaa au mateso ya kulea kwako??
OoooohWa kuzaa staki mke hapo badae apitie yale machungu aiseee ...
Maana mi nikipenda huwa najiona nipo connected na yule mtu mpaka maumivu tuna share so staki hilo.jambo.nilione mara kumi tula adapt mtoto
Au hapo unaonaje mkuu ushauri napokeaOooooh
Nikusaidie kidogo. Je kama alijiunga JF toka 2006 mpaka leo ni miaka 19. chukua miaka yako toa na 19 ndiyo ujue kwanini anayo application ya JFWasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Hacha kufuatilia mambo ya mama yako, utajaona makubwa zaidi. Mama ana umri gani kwani?Mkuu hapa nataka niongee na mdogo angu nijue je ni yeye kaweka au ni nani..
Alafu nifatilie je huwa ana log in au anaangalia habari mbali mbali
Kumfuatilia mama yako ni kumkosea adabu. Kuna baadhi ya vitu vijana uvipenda huku wakijua kuwa watu wazima au wazee hawaipendi, kumbe nao huvifanya kwa uficho.Kweli Poor Brain, we ulidhani humu JF tupo vijana tu au? 😀 mbona kuna watu wazima tu na wanasoma threads zetu vizuri tu.
🤣🤣Akija kuona hii atacheka sana 😂🙌😂🙌
WAtoto muhimuAu hapo unaonaje mkuu ushauri napokea
Wee una matusi ya reja reja sioNikusaidie kidogo. Je kama alijiunga JF toka 2006 mpaka leo ni miaka 19. chukua miaka yako toa na 19 ndiyo ujue kwanini anayo application ya JF
Umuhimu wakeWAtoto muhimu
Mkuu nimekuelewa na naapa kutorudiaKumfuatilia mama yako ni kumkosea adabu. Kuna baadhi ya vitu vijana uvipenda huku wakijua kuwa watu wazima au wazee hawaipendi, kumbe nao huvifanya kwa uficho.
Kwa mfano ukafuatilia ID yake, ukagundua kuwa mlishawahi kuwekeana mbango kwenye mada fulani kwenye jukwaa la Mahusiano na Mapenzi, na mwisho wake mkatukanana. Utajisikiaje?
Ana haki ya kuwa huru na mambo yake.
Kaka yaishe daahHacha kufuatilia mambo ya mama yako, utajaona makubwa zaidi. Mama ana umri gani kwani?
Kama ulivyo wewe,ma aunt zako wanakutafuta,Umuhimu wake
Mkuu sitaki watoto watoto ni noma sanaKama ulivyo wewe,ma aunt zako wanakutafuta,
Huataki nawe mwanao aje kukuandikia nyuzi humu na kufukua makaburi😗
Watoto watoto mybe ni adapt sijuiKama ulivyo wewe,ma aunt zako wanakutafuta,
Huataki nawe mwanao aje kukuandikia nyuzi humu na kufukua makaburi😗
Noma yake nini??Mkuu sitaki watoto watoto ni noma sana
Daaah nazani mpaka nifikishe 45+ ndo tawaza watoto kwa sasa hapanNoma yake nini??
OkDaaah nazani mpaka nifikishe 45+ ndo tawaza watoto kwa sasa hapan