Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,826
- 58,483
- Thread starter
-
- #481
So poa mashangazi mybe yasiwe yanatoka katika ukoo wako,Nasikiaga mashangazi sio poa😁
Daaah we jamaa unakuaga jau sana..Tulia basi hutaki upate wadogo zako wengine kutoka JF?
Jana nilikutwa na mnyama Simba na leo katiwa 2Daaah we jamaa unakuaga jau sana..
Hivi jana ulikutwa na nini
SIna shangazi wala ma mdogo,So poa mashangazi mybe yasiwe yanatoka katika ukoo wako,
Ila hawa dada ake sijui wadogo ake baba aaaaah aaaah show kali...
Alafu kuna mama wadogo ndo kila leo nabishana nao kuhusu kuoa
😂😂😂😂😂😂 Unachokitafuta utakipata sitaki mje kutukanana humuJana nilikutwa na mnyama Simba na leo katiwa 2
Simba katiwa 2 kwani uongo?😂😂😂😂😂😂 Unachokitafuta utakipata sitaki mje kutukanana humu
Huna shangzi how.?SIna shangazi wala ma mdogo,
HUtaki kuoa??
Ushaanza we jamaaSimba katiwa 2 kwani uongo?
Simba wamemtia 2 vidume vya Rs BerkaneUshaanza we jamaa
Mbali ssna,oa mapema upate watoto mapema ,Huna shangzi how.?
Mi kuoa bado sana mpaka nifikishe angalau 45 na kuendelea..
Hapo ndo taangalia wa kuoa
Watoto mapema sitaki..Mbali ssna,oa mapema upate watoto mapema ,
Duuuh hupendi watoto??Watoto mapema sitaki..
Then sipendi watoto yaani watoto mybe nipate kwa kulazimishwa na ndgu wasije wakazua maneno..
Ila kiukweli mi sipndi mambo ya watoto an staki mtoto mimi
Ndio sipendi hata kidogo...Duuuh hupendi watoto??
KivurugeNdio sipendi hata kidogo...
Yaani supendi hapo badae mke wangu apate mimba i means nikipata mwanamke gumba itakua ni great advantage kwangu...
Ila kuna family influence hapo ndo itakua changamoto
Hapana sio hv.ila.tu nina huruma kupitiliza aiseeee acha tu🥺🥺🥺Kivuruge
Uchungu wa kuzaa au mateso ya kulea kwako??Hapana sio hv.ila.tu nina huruma kupitiliza aiseeee acha tu🥺🥺🥺
Akija kuona hii atacheka sana 😂🙌😂🙌Tunakustua kaka🤣🤣