Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Mimi hata mwanaume anihonge gari kama simpendi hanigegedi ng'oo sembuse buku
hapa ndio nimekuelewa. pesa isiwe kigezo. shida ni kuidharau pesa ya aina yeyote utadhani inaokotwa.
 
hapa ndio nimekuelewa. pesa isiwe kigezo. shida ni kuidharau pesa ya aina yeyote utadhani inaokotwa.
Ndiyo ila wewe troublemaker hauwezi kumsaidia mtu buku mbona wanaume wenzenu huwa mnawasaidia ila wanawake mnataka hadi wawape ngono?

Yaani unataka mwanamke ambaye mnaenda kufanya tu just for fun hamna malengo yoyote akupe mzigo kwa buku halafu mkitoka hapo wewe unaheshimika yeye anadharaulika is that what you guys want?
 
Hapa sote ni roboti (fake ID) hivyo usimushushie hadhi hivyo roboti mwenzako.
Kwa kauli zake tu naassume hana hadhi hata ya kusalimiana na mimi status yake in real life mimi hainihusu na wala sitaki kuijua na kama amezaliwa huo mwaka aliouandika kwenye id yake ndiyo kabisa hakutakiwa hata kuireply comment yangu
 
Serengeti boys, kwa mitazamo yako ili kujiepusha na mifumo dume unakuwa nako ndani tuuu. Usikapuuze kanaweza
 
Ndiyo ila wewe troublemaker hauwezi kumsaidia mtu buku mbona wanaume wenzenu huwa mnawasaidia ila wanawake mnataka hadi wawape ngono?

Yaani unataka mwanamke ambaye mnaenda kufanya tu just for fun hamna malengo yoyote akupe mzigo kwa buku halafu mkitoka hapo wewe unaheshimika yeye anadharaulika is that what you guys want?
nilishawahi kuwa natoa tu hela ndogo ndogo zaidi ya hiyo na wala sikua na nia ya kuomba mzigo.
heee kumbe naonekana tonji.tunatofautiana mitazamo.

nikagundua kumbe kumpa tu mtu hela na usimtongoze wala kuomba, ye mwenyewe atakushangaa.
 
😂😂😂😂😂 MUJINI raha 🤣🤣🤣🤣 muungie bando Mkuu.

Naandika haya huku roho ikiniuma sana. Kabuku ( Tsh 1000 /= ) kangu kameenda kizembe sana. Dah

Siku hizi wadada wamekuwa wepesi sana kutoa namba zao mitandaoni..

Basi bana, juzi kati nkamuomba manzi flani namba. Fasta akanipa. Nkabaki nikijisemea ' Huyu naoa kabisaa '

Basi nkampgia, hakupokea. Bdae nkapga akadai hakuwa na kifurushi, ndio maana kashindwa kuntafuta bda ya kuona misd col.

Nkamwambia uswze. Akasema ' niungie bathiiii bandooo ' kwa sauti yaoo

Kimoyomoyo nkasema ' Tayaliiiiiiiiii '

Ila nkasema fresh, ngoja nijilipue tu. Ile kinyonge nkaenda kwa mangi nkanunua TIGO YA Tsh 1000/= nkamtumia

Athanteeeee ..' Ndio majb yake '

Nkasema fresh Mamilooo.. Takupigia bdae sasa. Akajibu poa.

Asubh nimempgia hakupokea pia. Nmepiga mida hii akadai pia hakuwa na simu plus hana kfurush. ' Niungiee basi bandoooo.. '

Nikasemaaa, Ayaaaaaaaa. Huyu nae vipi. Boyaaaaaàa nini. Kashanigeuzaaa mi falaaa wake sasa...

Sitatuma tena pesa yangu kwa hawa viumbe aiseee..

Buku langu si bora ningeenda kunywa supu ya jelo na chapati mbili.. Na chench ingebaki kabisaa

Nimefuta na namba japo roho bado inauchungu na Buku langu..
 
Hahaah.. Yani hawa viumbe wanahisi pesa zetu huwa tunaziokota aisee
Kuna Mmoja Juzi mchana tulikubaliana Aje Tudinyane, Mda ulipofika hakutoke kumcheki hakupokea,

Imefika saa 2 usiku Anakanitumia Sms,

My uko Wapi,

nkamjibu Nipo kitaa,

akasema nataka kuja,

nkamuuliza unakja kulala?

Akasema ndiyo ila nina hamu na Kiepe,

nkasema Poa

Nkaacha nilichokua nafanya Nimuwai, si unajua kidume ukishaambiwa na totoz kua inakuja kulala, Nkanunua kiepe na mirinda nyeusi take away. Nkamwambia nimeshafika home, mda kidogo akaibuka, akala kiepe chake akamaliza

Akaanza kujigunisha, nkamuuliza vipi mbona unaguna guna, eti dada kanitumia sms hapa anadai niende mara moja, alafu ndo nirudi, nkasema acha utani, akasema kweli, kamwambia ebu niione akagoma, Nkamwambia hapa hutoki, Akaanza kupayuka sasa unanikataza hili iweje, nkamwambia sipigwi kiboya isitoshe umenipotezea mda, akasonya, nkamchapa makofi mawili akalala mbele akaacha na kisimu chake mpaka leo ajakifata
 
sometime unaweza kuona wenzio maboya kumbe wew ndio boilila kabsa...
we kichwa kchako kilichogundua n kuw jamaa analalamikia buku...
pole
Kumbe na wewe kiazi haya pole
 
Back
Top Bottom