Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Hahaha.. mkuu sisi wengine hiyo buku ten hatuiingizi hata kwa siku..Ni aibu kumtumia demu buku. Naona aliamua tu kukudharau. Hela ya vocha siwezi tuma chini ya 10,000.
Viwanda vingi vibalipa 8500 kwa siku.. toa kula vocha ya JF...chai na usafiri unafikiri tutaweza kuhonga 10 000?


