Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Tatzo sio pesa. Tatizo ni style ya kuzichukua.
 
Nitumie namba yake nimtumie 100,000 sasa hivi huyo dada maana najua atakuwa ameumia sana kwa kitendo ulichofanya. Kama hamn pesa kwa nini mnaomba namba za simu? We unajua alisumbuka kiasi gani kusajili hiyo line?

Msiwe mnafanya hivyo ndugu zanguni.mwishowe wote tutaonekana maskini na kudharaulika. Sijapenda hili jambo..


 
Nitumie namba yake nimtumie 100,000 sasa hivi huyo dada maana najua atakuwa ameumia sana kwa kitendo ulichofanya. Kama hamn pesa kwa nini mnaomba namba za simu? We unajua alisumbuka kiasi gani kusajili hiyo line?

Msiwe mnafanya hivyo ndugu zanguni.mwishowe wote tutaonekana maskini na kudharaulika. Sijapenda hili jambo..

Kiduku Lilo uko wapi umsaidie mdau
 
Katika ubora wako akikuchelewesha nambie nitume yangu
 
jero ni soup ya paka au panya?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]tena mvifiche kabisa huko huko viliko visitune hata kwenye sarawili[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]

Sawa tumekuskia ngoja niache kabisa hata kushangaa shangaa wanawake wanaopita hapa mtaani kwangu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sana mazee

Acha kabisa mama la mama anakwambia yaani haitakiwi hata ishtue shtue kidogo ndani ya suruali endapo kama huna hata buku mfukoni. Si kauli za kikatili hizi.[emoji12][emoji12]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]ndiyo sasa anashindwa kumiliki mali anataka kumiliki wanawake?

Yawezekana pia siku akianza kumiliki mwanamke ndio hata mali zitaanza kumfuata, hii nayo huwa ipo.

Nakumbuka kuna mwanangu mmoja kipindi fulani ndio tunaanza hustling, yaani yeye akiwa na mademu wengi ndio hela zinamtembelea kwa sana, kuna kipindi alikuwa anazinguana nao wanamkimbia wote na hela nazo zinakuwa adimu.
 

hehe!! hili nalo neno mzee baba
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe kaka yangu wewe Ni milionea bwana.

Endelea kuniombea tu hivyo hivyo mdogo wangu kesho niamke na huo umilionea, maana hapa nilipo nina mkeka wa m-bet unasoma milioni 37.
 
Sawa ila siyo hela ya kumpata mwanamke hivi wanaume mnatuchukuliaje jamani? Yaani mtu anigegede kwa buku? Mimi hata mwanaume anihonge gari kama simpendi hanigegedi ng'oo sembuse buku
Wewe huijui njaa
 
Daaah pirates haya mambo hatuyawezi.
 
Sasa kama buku ni kubwa sana kwako, angekuja gheto ungempanda bure bila hata fanta na robo mkate?? Kweli, dunia taab sana. Huna hata buku unamtamani mwanamke, sijui ataogea nini ukimaliza show yako
unapanda bure tu kwani bei gan
 
Kwahiyo kusema baeleze, umeshusha gazeti lote hili??? Hao waliokuandikia magazeti wenzio huwaoni???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…