4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,301
- 12,952
Wakuu Mungu ndo kila kitu kwangu na ananijua vizuri nje na ndani , nami nashukuru kwa kila jaribio kwangu.
Vijana wangu walienda salimia siku ya tarehe 27 huko Misumi kwa siku mbili kwamba warejehe nyumbani tarehe 29 , ikiwa ni pamoja na kutimiza haki zao za kikatiba ,mpaka wanaagq iyo siku masiliano yalikuepo , ila sasa mpaka naongea nanyi wakuu nipo na msongo mkubwa wa mawazo na sio mie tu bali familia nzima.
Pamoja na juhudi zote vijana wangu sijawapata wakiwa maiti au wazima .
Wakuu nimevurugwa , sasa kama familia tunajiuliza tuzike nguo au tusubili .
Ndani ya siku chache mimi na famila yangu tumekonda kama sio kuisha .
Namkabidhi Mungu kisasi ichi