Nimependwa na dada muuza mihogo, nifanyaje?

Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job,
Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why? Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu,
Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Umeacha ushoga?
 
First year wa udsm katika ubora wako ngoja u graduate kitaa kina kusubiri....yaani unadharau mihogo wakati ndio unayo shindia unajua wangapi wanashindia mihogo Kama wewe na huyo Dada anafunga na hesabu ya ngapi kwa siku.....?

Kifupi huyo mwanamke kutokana na unavyo muuigizia maisha kaona wewe ni bonge la kichwa lkn kiuhalisia wewe ni boya
 
Kama unaona muuza mihogo sio level yako,inakuaje wewe mwenyewe kila siku asubuhi unakula hiyo mihogo? Nenda huko KFC ukakutane na wa level zako,
Anyway hii ni chai tu umeileta,wakubwa tumekuelewa.
 
Mkuu sijamaanisha kama namnyayapaa na kazi yake ila daah kidogo niwe mkweli napenda mwanamke awe na ka kazi kakueleweka hata ukimtambulisha kwa washua kidogo fact

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Daaah Sisi wa Africa itapita miaka mingi Sana kujitambua na kujielewa nikweli wazungu Wana haki ya kutu dharau na wapo sahii kutu dharau Yani mwanamke ana fanya biashara yake ya kujieshimu ameamua kuto jiingiza kwenye tabia chafu ya kujiuza wizi na tegemezi bado ana onekana ana fanya kaz hisiyo na heshima kwa jamii, Yan kija wa kisasa Una mawazo ya ajabu Sanaa.
 
Hapa mtaani kwetu kuna mabinti wengi wanajiusisha na shughuli za kujitafutia kipato wengi wanauza mihogo, kuna mdada mmoja anauza mihogo tumetokea kuzoeana ni mteja wake mahiri sana mimi,
Uwa naenda kumnunua mihogo kwake kila asububi kabla ya kwenda job,
Sasa huyo dada katika kuzoeana akaniombaga hadi nambaangu tukawa tunachati sasa jana kaniambia kuwa ananipenda nilishtuka sana nikamuuliza why? Anasema mimi ni mwanaume ninaejipenda msafi sana na nina moyo wa kipekee hivyo ametokea kunielewa sana, daah wakuu huyu mwanamke ni mrembo haswa mweupe ana tako halafu mrefu kidogo, ikabidi nimwambie nipe siku 3 nikufikirie then nitakupa jibu,
Wakuu mimi naona kama siwezi kumkubalia huyu mwanamke maana nitamuumiza sana nitaishia kumla na kumuacha tu japo sababu nyingine sipendezwi na kazi yake ya kuuza mihogo bora kidogo angekuwa na kazi ya kueleweka hapo ningemkubalia
Hau wakuu nakosea??

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Mwanamke akikupenda usimkatae
 
Vipi wakati anakutongoza ulianza kutafuna kucha ??
 
Mke sina mkuu ila daah hapo kwenye kunizidi akili mkuu kama sijaelewa elewa

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Huelewi nini? Maana katika umri huo kama hauelewi kuwa mdada kuuza mihogo ni dalili njema kuwa anapenda kujishughulisha na kazi halali utaelewa lini? Je ungemuona kwenye vijiwe vya wanaojiuza penyewe ungemuona wa maana?Nawaheshimu wanawake ambao wako tayari kufanya kazi yoyote halali,iwe kuuza chakula,au maji nk.
 
Mkuu hizi mbususu zinazokuja kama zali chapa faster angalia ustaarabu wako kikubwa hao wauza busta usipige kavu tena tafuta roughrider kabisa maana kuna njemba huwa zinajumua dishi lote pamoja na mama mihogo mwenyewe
 
Tabia za kimarioo kabxaa..yaan unamdharau bint kisa anauza miogo...bad enough yawezkana unakula na kuvaa kwa kutegemea wazazi..hopeless kabxaa...we kama humtaki mchane atafute channel kwingine
 
Back
Top Bottom