Nimependa changudoa

Mpaka kichwa kinauma
 
Uchangudoa ni kazi na sio tabia (labda kwa wachache sana), kazi ni rahisi kubadili kama ukpata nyingine inayolipa. Huyo dada anaweza kubadili kazi kama anaichukulia kama kazi na sio tabia.

Usisahau na misemo ya wazee wetu "Kunguru ..."
 
Reactions: BRN
Huyu ni mrembo coz alishiriki mashindano ya umiss akashika namba za juu
kuwa mrembo sio hoja mwana....tena hapo raha sii wamega mrembo ila sasa ishu ni kwamba sio wakuweka peke yako mwana. hiyo papuchi ya watu wengi (although ni kweli kuwa hamna papuchi ya kwako peke yako) but sio wakuweka ndani. wee batua tuu
 
We achakujidanganya we mwenzako kwanza anafanya biashara alafu unataka uhamishie ndani achaizo mambo ni wangapi wamepita kwake kama mfanya biashara wa mwili wake, lingine siku zote machangu wanakuaga na vitu adimu ilikuvutia wateja wao ili kesho warudi asa ndo ww na uzoefu wakutosha kutoka kwa wanaume!
grow up meen acha akili za usiku ww!
 
Mkuu bid2015, sikulenga kukutisha, nilitamani sana kukufikirisha kivingine ile uamue mwenyewe. Kaa tu utulie ndugu yangu utafakari vizuri, Moyo wa mtu una hila nyingi sana kaka zilizojificha, na kuzijua ni ngumu sana, na mara nyingi maana ya maneno ya watu haipo kwenye wanachozungumza, bali ipo nyuma ya wanachozungumza. So nakushauri kwanza wewe ujitathimini mwenyewe against your dreams/vision, then juu ya mwanamke atakaye kusaidia kuzifikia. Then Muombe sana Mungu wako, atakusaidia kama ni kupitia sisi, sawa, kama ni wengine sawa, bali kusudi lake maishani mwako litimie. Ubarikiwe kaka.
Dah kaka umeniogopesha bado abauza. Mwanzo nilipotezana nae nikakutana nae anajiuza siku ya fiesta dar nikaendelea kula
 
mkuu huyo dem achana nae maana siwewe 2 ambe umempenda sana jua kunawengine tena walimpenda mwishoe wakamtema sasa kifupi nawa yake yakumtema tafuta mwingine 2 ambae siyo changu
 
Mkuu Kanigini, asante kwa maelezo yako, kila mwenye ufahamu, na afahamu.

Uchangudoa ni kazi na sio tabia (labda kwa wachache sana), kazi ni rahisi kubadili kama ukpata nyingine inayolipa. Huyo dada anaweza kubadili kazi kama anaichukulia kama kazi na sio tabia.

Usisahau na misemo ya wazee wetu "Kunguru ..."
 
mkuu huyo dem achana nae maana siwewe 2 ambe umempenda sana jua kunawengine tena walimpenda mwishoe wakamtema sasa kifupi nawa yake yakumtema tafuta mwingine 2 ambae siyo changu
 
Mkuu kwani changu doa nae si binadamu kama wewe na mimi. Kwanza kama kweli umempenda kwa dhatio na ukamwoa,
Mungu atakubariki sana kwa kumsaidia na kumsitiri mja wake kwani utakuwa umemwepushia mengi. Kumbuka hata Mary Magdalene alikuwa hooker. Waswahili wasema: Unaweza ukaligeuza jalala kuwa utajiri
 
mkuu huyo dem achana nae maana siwewe 2 ambe umempenda sana jua kunawengine tena walimpenda mwishoe wakamtema sasa kifupi nawa yake yakumtema tafuta mwingine 2 ambae siyo changu
Najitahidi kumuacha nimeshindwa
 
Muoe tu
ikitokea mmechaha au umefukuzwa kazi
atatumia ajira yaku kukukwamua
utakuwa unamsindikiza mwawindoni na kumlinda na wateja wakorofi lol

Hapa ni sawa na twanga pepeta!! This is thinking beyond mind capacity, Lolest!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…