Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,149
- 2,784
Wewe acha kupotosha. Lini uliona fungus wanatibu na antibiotics? Pharmacology uliyosoma wewe ni kutoka wapi nyasa? Au manzese.Nyie madaktar wa lumumba nyie
Tunachozungumza ni facts na uhalisia unapotosha tena sana Nilipita kimya ila nilipoona text yako ya ubishi ikabidi nikutafute na nijue unachokibishia ni nini kumbe ni wrong Dx plus wrong Rx then unajiita mtaalamu? Utatuulia watoto wetu? Kasome ndugu na ujue unachokibishia kama kina uhalisia.
Jukwaa la JF Doctor wanasoma na kupitia watu wengi humu, tujifunze incase unahisi hufahamu chochote kuhusu mada pita kimya au toa ushauri aonane au aende hospitali siyo kutujia na wrong Dx plus wrong Rx na unajisifu na kujinadi.