Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

Balvejmumt

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,333
2,000
Nyie madaktar wa lumumba nyie
Wewe acha kupotosha. Lini uliona fungus wanatibu na antibiotics? Pharmacology uliyosoma wewe ni kutoka wapi nyasa? Au manzese.

Tunachozungumza ni facts na uhalisia unapotosha tena sana Nilipita kimya ila nilipoona text yako ya ubishi ikabidi nikutafute na nijue unachokibishia ni nini kumbe ni wrong Dx plus wrong Rx then unajiita mtaalamu? Utatuulia watoto wetu? Kasome ndugu na ujue unachokibishia kama kina uhalisia.

Jukwaa la JF Doctor wanasoma na kupitia watu wengi humu, tujifunze incase unahisi hufahamu chochote kuhusu mada pita kimya au toa ushauri aonane au aende hospitali siyo kutujia na wrong Dx plus wrong Rx na unajisifu na kujinadi.
 
Apr 12, 2017
28
45
Because there's opening wound in this matter, erythromycin can work as anti staphylococcal antibiotics, in case the patient is itching Cetrizine might work as antihistamine,as long as we only see the picture without clacking the complain we cant be sure 100% with the treatment, cha msingi mgonjwa aeende kuonanana na wataalamu wa Tiba walio karibu naye.
 

Agogwe

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
1,836
2,000
Nimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado sijaweza kwenda hospitali . Je, ni ugonjwa gn?

Ni vizuri ukafika kituo cha afya kwa matibabu na ushauri. Huu ni ugonjwa wa ngono unaitwa Chancroid, wahi matibabu maana penis itachakazwa mbaya na vidonda.
  • Azithromycin 1 g orally in a single dose
    OR
  • Ceftriaxone 250 mg IM in a single dose
    OR
  • Ciprofloxacin 500 mg orally twice a day for 3 days
    OR
  • Erythromycin base 500 mg orally three times a day for 7 days
 

Priceless soul

JF-Expert Member
Jul 4, 2017
1,473
2,000
Unamaanisha huuu.mhhhh
Screenshot_20210210-023252.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom