Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

Kama ulitumia dawa ambazo una alergy nazo,pia mkuyenge hua unakua kama hapo juu,ngozi ya juu ya mkuyenge hutoka na kua kidonda,ilishawahi nitokea hiyo kitu,wahi hospital wakakufanyie dressing, lakini maumivu yake sio ya Nchi hii kaka! Ukimaliza tiba,lazima utembee kama umekata center bolt,inauma hatari
daah ase noma...
unatembea kama umetoka kupimwa kipimo cha corona kwa njia ya haja kubwa
 
Km ujala demu,angalia historia yako ya dawa ulizomeza juzi juzi...km kuna 'salfa' japo ndo shida....km ni hyo meza tuu citrizen
 
Iyo ni hali ya kawaida mimi uwa inanitokea km nimesafir nikavaa boxer cku tatu mboo inawasha napakuna panachubuka.
 
Back
Top Bottom