Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

aaaah tnx to god. Nimepona kabsaa vidonda vimekwisha pona vyote na sasa nipo salama. Yote ni baada ya kwenda hospital ila ilikua kipengere kidogo maana doctor alikuwa wa kike.

But ugonjwa ulikuwa sio kaswende wala gono ilikua ni bacteria ndo walio weza nipata na hii bila shaka imetokea baada ya kukutana na mwanamke cku 4 mbele ndo dalili zilianza onekana.

Aah my advice tuwe makini tu ndugu zangu maana hili ni balaa.

Asanten kwa ushauri kwa wenu.
Ohoo. Kaswende na gono wote ni bacteria.
 
Back
Top Bottom