Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

Kweli "mficha uchi, hazai"

Nenda hospital chief, nahofia yaweza kuwa pangusa, ikakupangusa kalunguyeye.
 
Na uhakika hiyo pisi lazima iwe na Tako otherwise nitakulamu.

ebu assume mm ndo malaika mtoa roho nakuliza eeh we mbona haraka haraka wap!!? ukiisifia pisi vizur umepona😅😅😅😅 nitakufikiria
 
Nawewe acha kiherehere kaka naongea ktu ambacho na experience nacho na akileta mrejesho mtoa mada utajua ww ni taga
Experience gan unaongelea sasa wakat kila siku hizo case tunakutana nazo clinic.
Haya daktari wewe ni mshindi
 
Usiogope hyo ni fungus tu ya kawaida chukua ethromythin na citizen sku 3 tu utaona mabadiliko makubwa sana
Treating fungus with antibiotics? Like seriously? Mmmh hata M.A hawezi toa haya matibabu. Next time usijaribu kuandika usilolifahamu utapotosha umma.

Wrong Dx plus wrong Rx
 
Back
Top Bottom