jassone jasper
Member
- Aug 23, 2014
- 12
- 5
Kuna mtu atatapeliwa soonNimepata sms kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada wa kunielewesha namba yao waliyotumia kunitumia ujumbe huo ni 0621398629.
YOUR CELL NO. HAS WON YOU £850,000 IN DON GOING 2017 PEPSI MOBILE DRAW IN UK, TO CLAIM; SEND YOUR NAME, AGE & NUMBER TO pepsicsms@outlook.com
Wapuuze hao ni wezi,na mimi wamenitumia leo.Nimepata sms kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada wa kunielewesha namba yao waliyotumia kunitumia ujumbe huo ni 0621398629.
YOUR CELL NO. HAS WON YOU £850,000 IN DON GOING 2017 PEPSI MOBILE DRAW IN UK, TO CLAIM; SEND YOUR NAME, AGE & NUMBER TO pepsicsms@outlook.com
Yaani mpaka leo hufahamu matapeli?????. Umepokea toka kwenye namba ya halotel na wala si kutoka halotel.Nimepata sms kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada wa kunielewesha namba yao waliyotumia kunitumia ujumbe huo ni 0621398629.
YOUR CELL NO. HAS WON YOU £850,000 IN DON GOING 2017 PEPSI MOBILE DRAW IN UK, TO CLAIM; SEND YOUR NAME, AGE & NUMBER TO pepsicsms@outlook.com
Achana nayo mkuu.
SMS za namna hiyo zipo mitandao yote.
Ni utapeli tu huo
Muache apigwe ndiyo apate akiliAchana nayo mkuu.
SMS za namna hiyo zipo mitandao yote.
Ni utapeli tu huo