Mwenzenu nimeukata!

Nyanidume

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,364
1,023
Your cell number has won you £850,000 in ongoing 2017 cocacola mobile draw in UK, to claim; send your name, age&number to: cocaukpa@outlook.com. Hii msg imetumwa leo kwenye simu yangu kutoka namba 0623 576932.
 
hata mimi wamenitumia leo.ila sidhani kama kuna ukweli kwenye hili.Mwenye taarifa au uelewa zaidi waje watueleweshe ila so far shilingi mia yangu kuwapa kwa sasa ni kubwa kuliko hela wanayosema nime(ta)shinda
 
Hongera! Zitumie vizuri zikufae maisha yako yote.
 
Matapeli hao mimi nishashinda sana hizo ila nawaachiaga na wao wazifaidi haha
 
hata mimi wamenitumia leo.ila sidhani kama kuna ukweli kwenye hili.Mwenye taarifa au uelewa zaidi waje watueleweshe ila so far shilingi mia yangu kuwapa kwa sasa ni kubwa kuliko hela wanayosema nime(ta)shinda
Ulishiriki shindano lolote linalowahusu hao jamaa?
Au mwapenda mtelezo tu.
 
Hao ni wezi hata mimi walinitumia nikawapuuza maana sikuwahi kufanya nao biashara yoyote.
 
Back
Top Bottom