Nimepata SMS kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada

Aug 23, 2014
12
5
Nimepata sms kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada wa kunielewesha namba yao waliyotumia kunitumia ujumbe huo ni 0621398629.
YOUR CELL NO. HAS WON YOU £850,000 IN DON GOING 2017 PEPSI MOBILE DRAW IN UK, TO CLAIM; SEND YOUR NAME, AGE & NUMBER TO pepsicsms@outlook.com
 
Wapuuze hao ni wezi,na mimi wamenitumia leo.
Vyuma vimekaza watu wanatafuta watoke vipi.
 
Nimepata sms kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada wa kunielewesha namba yao waliyotumia kunitumia ujumbe huo ni 0621398629.
YOUR CELL NO. HAS WON YOU £850,000 IN DON GOING 2017 PEPSI MOBILE DRAW IN UK, TO CLAIM; SEND YOUR NAME, AGE & NUMBER TO pepsicsms@outlook.com
Yaani mpaka leo hufahamu matapeli?????. Umepokea toka kwenye namba ya halotel na wala si kutoka halotel.
 
Hakuna mjinga duniani atakayekupa hela nyingi kiasi hicho. Ili ushinde Lotary ni lazima kuwe na connection na connection hiyo ni kucheza. Kama hujacheza that is scam
 
Achana nayo mkuu.

SMS za namna hiyo zipo mitandao yote.

Ni utapeli tu huo

TCRA wanatakiwa kuingilia kati huu mchezo, simu ninunue mimi, vocha niweke mimi, kwa matumizi ninayotaka mimi, halafu wao wanitumie uchafu wao kwenye simu yangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom