Nimepata SMS kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada

Tuma hizo information kisha ulipie hiyo BIMA upate kupewa mamilioni yako kama dr.Shika
 
TCRA wanatakiwa kuingilia kati huu mchezo, simu ninunue mimi, vocha niweke mimi, kwa matumizi ninayotaka mimi, halafu wao wanitumie uchafu wao kwenye simu yangu


Acha kulia lia TCRA iingilie kuzuia msiibiwe kutokana na Ujinga wenu??


Imeandikwa "Wajinga ndio waliwao"....

Hujashindana utawezaje kushinda???.


Kwahiyo ikiwa utaamini kuwa umeshinda wakati hukushindana huna budi kuibiwa maana uu mjinga wa kiwango kikubwa sana!


Mtaacha kuibiwa pale Ujinga utakapowatoka vichwani mwenu.
 
Nilipataga kama hiyo lkn sio halotel, nikajiuliza mimi sijawahi kunywa pepsi wala kushiriki shindano lolote...

I jumped into a conclusion ‍♂️‍♂️ nikalifutilia mbali...

Angalia usijelizwa huko
 
Hivi Dkt Shika mpaka sasahivi hela zake hajifika toka Urusi pamoja na kwamba alilipa bima dollar mia moja?
Nimekutana nazo hapo mizani ya vigwanza ziko kwenye kontena wahi ubungo mawasiliano zitakuwa zinaelekea huko.
 
Screenshot_20171203-130820.png
Screenshot_20171203-130820.png
 
Zigo la Dr Shika limetua kwako Paaaaah Janjaro utakula totozi kama huna akili nzuri hiyo mipound (£)
 
Kumbe na ww umetumiwa nikajua mm tu na nilishafikia hatua ya verification ambayo walitaka
Copy of driving licence
Copy of national ID
Copy of International pass.
 
Kuna mbwa anatuma hizo sms hata me nimeshawahi kutumiwa na namba hiyohiyo
 
Back
Top Bottom