Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Also by drinking beer you'll b good in english grammar!!
 
Mi huwa naacha kunywa ili kazini wasini-mind....kuna utaalam wa Masa wa kuweka kwenye chupa ya chai, wacha nijaribu jumatatu.
 
Kwa walioko Moro, mi naelekea top life... join me plz........
 
Kuna mahala nishasikiaga watu wanaoshabikia pombe kama hivi huwaga wako branded "mbepo"..whatever that means!
 
Mi huwa naacha kunywa ili kazini wasini-mind....kuna utaalam wa Masa wa kuweka kwenye chupa ya chai, wacha nijaribu jumatatu.

Hakikisha boss wako hajui unaweza poteza ajira!
 
Hivi unawezaji kuishi bila kunywa japo double tots na barafu?? My brains will not function well

Weekend is back!!!
 
Kuna wengine pia wamehalalisha ushoga, na hutoa evidence iliyopo Mwanzo 2:18,," Bwana Mungu akasema, Si vyema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. ...

Tatizo ni kusoma biblia upside down.
 
Ahhhh Chrispo usiache pombe bana, wala wasikudaganye kuacha pombe ...
 
Asprin, na wadau.... WHAT HAPPENED TO JOHNNIE WALKER BRAND IN DAR???

NINA WIKI SASA SIIONI NA HII INASUMBUA AKILI YANGU

WHAT IS HAPPENING?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…