Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
KATIKA JINA LA YESU NEEMA YA MUNGU IKUFUNIKE UPATE KUELEWA MAANDIKO NA KIU YA POMBE IKUTOKE. Mithal 23:20,21 isaya 5:22, luk21:34, warumi 13:13,14 luka 24:45 elewa maandiko nduguyangu, unafaham ni kosa na unaendlea kutenda na unajisifia, uo ni upumbavu, KATIKA JINA LA YESU FUNGUKA
Yesu Ageuza Maji kuwa Divai Huko Kana
Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya naye mama yake Yesu alikuwapo. Yesu naye alikuwa arusini pamoja na wanafunzi wake. Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akawaambia, "Hawana divai...." Naye mkuu wa meza alipoyaaonja yale maji yaliyopata kuwa divai....
"Baa Hakuna Hodi"" kivuli hakina rangi"
Embu acheni kuchakachua neno takatifu kwenye vikao vya gongo!!!Yesu Ageuza Maji kuwa Divai Huko Kana
Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya naye mama yake Yesu alikuwapo. Yesu naye alikuwa arusini pamoja na wanafunzi wake. Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akawaambia, "Hawana divai...." Naye mkuu wa meza alipoyaaonja yale maji yaliyopata kuwa divai....
" kivuli hakina rangi"
"baa hakuna hodi"
unaomba bar maiti......
Bar hakuna kuaga
Poa ngoja nicheki huo mzigoEmbu acheni kuchakachua neno takatifu kwenye vikao vya gongo!!!
Alafu chungulia sanduku lako la barua nakutumia mzigo!!!
Unaomba bar maiti......
wanywe kwa bill yangu
Vigezo na Masharti Kuzingatiwa:
Ficha Upumbavu wako, Usifiche Biya yako.
Hahahaha
Bar hakuna kuaga
Hahahaha
.Kucha ndefu haitoi inzi kwenye glasi ya bia
.Kucha ndefu haitoi inzi kwenye glasi ya bia