aisee hebu patia ile mutu pale pumbavu tatu baridi na nusu kilo ya fuso haraka aongese upumbafu yake.... mimi tayari kisha pata B-E-E- namalizia R-esults niwahi kwa mama yeyoo😛ound:
kweli kabisa mtu wangu, unajua haya mambo ya starehe mabaya sana, we acha tu!!! :biggrin1:hawa watu hawako sirias kabisa..... unajua haya ya wajinga, sijui wapumbavu nk. yana sehemu yake.... waweza kukuta mie mjinga kwa kunywa lakini kuna mwingine mjinga kwa peku...
haya bana.... mashindano ya ujinga yanaanza taratiiibu:dance:
MTM
nimeipenda hii
kila mtu anaujinga wake sio wapombe tu
pumbavu tatu ni sawa na bia tatu which is equivalent to about five bricks za pale kibokoHahahaha...Hivi pumbavu tatu ni sawa na biya ngapi na ukizikonveti kwenye tofali zinakuwa ngapi?
hawa watu hawako sirias kabisa..... unajua haya ya wajinga, sijui wapumbavu nk. yana sehemu yake.... waweza kukuta mie mjinga kwa kunywa lakini kuna mwingine mjinga kwa peku...
haya bana.... mashindano ya ujinga yanaanza taratiiibu:dance:
Naamini hapo hauko siriaz....lazima utakuwa unajoke.
Kama uko serious, rudia tena kauli yako............
Mate, hii peku unayozungumzia hapa......ndo kunywa biya bila kutumia glasi? Na ukinywa biya bila kutumia glasi ni upumbavu au ujinga?
we sasa unataka kunipeleka jukwaa la wakubwa... shauri yako!!!:noidea:Mate, hii peku unayozungumzia hapa......ndo kunywa biya bila kutumia glasi? Na ukinywa biya bila kutumia glasi ni upumbavu au ujinga?
Samahani ejimeti, kuna bibi hapa chini kashaniweka sawa.we sasa unataka kunipeleka jukwaa la wakubwa... shauri yako!!!:noidea:
bila plastic bag
hawa watu hawako sirias kabisa..... unajua haya ya wajinga, sijui wapumbavu nk. yana sehemu yake.... waweza kukuta mie mjinga kwa kunywa lakini kuna mwingine mjinga kwa peku...
haya bana.... mashindano ya ujinga yanaanza taratiiibu:dance:
aisee hebu patia ile mutu pale pumbavu tatu baridi na nusu kilo ya fuso haraka aongese upumbafu yake.... mimi tayari kisha pata B-E-E- namalizia R-esults niwahi kwa mama yeyoo😛ound:
hawa watu hawako sirias kabisa..... unajua haya ya wajinga, sijui wapumbavu nk. yana sehemu yake.... waweza kukuta mie mjinga kwa kunywa lakini kuna mwingine mjinga kwa peku...
haya bana.... mashindano ya ujinga yanaanza taratiiibu:dance:
MTM
nimeipenda hii
kila mtu anaujinga wake sio wapombe tu
Naamini hapo hauko siriaz....lazima utakuwa unajoke.
Kama uko serious, rudia tena kauli yako............
Hahahaha...Hivi pumbavu tatu ni sawa na biya ngapi na ukizikonveti kwenye tofali zinakuwa ngapi?
Nyie watu nyie 😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:pumbavu tatu ni sawa na bia tatu which is equivalent to about five bricks za pale kiboko
Mkuu nataka ninunue lile Black Label la Serengeti breweries lile mtu si unakaa nalo miezi miwilikweli kabisa mtu wangu, unajua haya mambo ya starehe mabaya sana, we acha tu!!! :biggrin1:
Samahani ejimeti, kuna bibi hapa chini kashaniweka sawa.
Eti we mbibi, ukinywa biya afu ukasahau kutumia plastic bag, inaweza kuwa upumbavu na ujinga kwa wakati mmoja?
ah wapi,:heh: kama uko sirias kwenye upumbavu, haichukui hata wiki....:loco:Mkuu nataka ninunue lile Black Label la Serengeti breweries lile mtu si unakaa nalo miezi miwili
Aiseee! this is vere vereUkinywa biya unaweza tumia/usitumie Glass, so huwezi kuwa kati ya hayo
Mkuu nataka ninunue lile Black Label la Serengeti breweries lile mtu si unakaa nalo miezi miwili
Hahaha!!! Kwahiyo mkiwa wawili na mkiwa sirias kwenye upumbavu in a day kitu kwishneiah wapi,:heh: kama uko sirias kwenye upumbavu, haichukui hata wiki....:loco:
si unajua jitihada ni muhimu aisee?:doh:
Aisee ile ujazo wake unakaribia kufika wa ule wa chupa ya maji ya uhai ile ya lita tanoUjazo kiasi gani
Hahaha lol!!!!Upumbavu hauna ujazo....
Kazi ni kwako..........!!Upumbavu hauna ujazo....
Hahaha!!! Kwahiyo mkiwa wawili na mkiwa sirias kwenye upumbavu in a day kitu kwishnei
Aisee ile ujazo wake unakaribia kufika wa ule wa chupa ya maji ya uhai ile ya lita tano