Imeandikwa....Usimpe pombe mfalme akaharibu hekima yake...bali pombe hupewa (kama sijasahau ni either wapumbavu au wajinga)..
kazi kwenu wanywa pombe...
kwa hisani ya wabena wa serengeti breweries.... madalali wa Johnnie Walker Tanzania!!!..... Silence can be the loudest noise DRUNKARD CANNOT make!!!
Provocative.......
Super darling....
Ok...ok...ZD...
Hebu niite mpumbavu....halafu nipe biya.....ntasahau hilo tusi mara moja....
BTW: Imeandikwa mpe kileo masikini......na sio mpumbavu!
kweli kabisa aisee.... na ndio maana hatupewi bali tunanunuaImeandikwa....Usimpe pombe mfalme akaharibu hekima yake...bali pombe hupewa (kama sijasahau ni either wapumbavu au wajinga)..
kazi kwenu wanywa pombe...
Hahahaha....unapigwa pumbavu kwa bia?
Mwambie ZD anipige pumbavu sita kwa malipo ya biya
kweli kabisa aisee.... na ndio maana hatupewi bali tunanunua
Mkuu, zile Johnnie Walker kubwa kweli kama maji ya lita tano ya uhai mazeeekwa hisani ya wabena wa serengeti breweries.... madalali wa Johnnie Walker Tanzania!!!
Utaomba upigwe hata pumbavu 50 kwa malipo ya BEER (BEHAVIOUR, EFFECT, EXPECTATION, RESULTS)Hahahaha....unapigwa pumbavu kwa bia?
Mwambie ZD anipige pumbavu sita kwa malipo ya biya
Hhahahakweli kabisa aisee.... na ndio maana hatupewi bali tunanunua
Ukisema Pumbavu mara 4 unaleta bia naneUnacheza na thamani ya tofali nane za inchi tano?
Hakyanani.....
Aisee mi nakubali kutrade off mazee....kila ukiniita pumbavu....leta na biya 4....haina kwere....:biggrin1:
Ulevi ndio utamu wa pombe. Mtu akinywa pombe akalewa hapo ndipo pombe huwa tamu kwake. Usisahau ulevi ni ukichaa of its kind. Endelea kunywa na uwe tayari kuwa kichaa/insane/mad. Hakuna shida.
Mie hata kama biblia ingeruhusu kunywa pombe kamwe siitaki na nisingeinywa maana inamfanya mnywaji apate ukichaa anaouita furaha.
Asprin unatakiwa usome Biblia yote na kuichambua sio kipengele kimoja tu unajihalalisha kunywa pombe.
Kwanini ukinywa pombe kina eliza woote unawaona warembo wakati kabla ya hapo ulikuwa unawaona wa kawaida?
Pombe inachochea maasi ..
Thats my own bibi....unaonaje ukaongeza fontsize? Babu anasoma kwa shida sana posts zako.
Kuna matofali 7 kwa weweeee!!!!Thats my own bibi....unaonaje ukaongeza fontsize? Babu anasoma kwa shida sana posts zako.
Hakyanani.....
Aisee mi nakubali kutrade off mazee....kila ukiniita pumbavu....leta na biya 4....haina kwere....:biggrin1:
aisee hebu patia ile mutu pale pumbavu tatu baridi na nusu kilo ya fuso haraka aongese upumbafu yake.... mimi tayari kisha pata B-E-E- namalizia R-esults niwahi kwa mama yeyoo😛ound:Ukisema Pumbavu mara 4 unaleta bia nane
Bibi aliniambia babu asp unakunywa hadi unajikojolea.
Nilikuwa simuamini.
Hii sredi utakuwa umeiandika huku umelewa maana wakati naisoma nimeisikia kama ina kiarufu ka yale maji ya njano.
dah, mkuu we mkare 😛ound:welcome to the club .......na kama zawadi hebu agiza pumbavu tatu na mishkaki miwili ntalipa kwa m-pesawewe bado hujajua tatizo lako wewe tatizo lako sio pombe ni wivu wa kimapenzi kwamba kampapasa huyu kashika nyonyo za yule hilo ndilo tatizo lako kwahiyo hivyo kama unamwona babu yako anatabia ya kupapasa nyonyo zenu ujue kabisa alikatiswa kunyonya akiwa na miaka miwili na hivyo basi itakuwa walimwonea sana walimfadhaisha sana na walimuhudhunisha sana hivyo basi akija kuwa mkubwa nataka kushika tena zile nyonyo na mara nyingine utakuta wanatakakunyonya tena lakini angeachwa mpaka akue angeacha mwenyewe na asingerudia tena, we angalia kina baba karibu wote utakuta wanapenda kushika nyonyo za kina dada na wengine kuzinyonya sasa kuna maziwa gani wanyonya huko? na hii iwe fundisho kwa akinamama kuwakatili watoto na kuwaachisha nyonyo kabla ya muda na wenginr kuwaachisha kwa kutumia pilipili ndipisa wanapokuja kupiga kikombe kidogo kinawafanya wakumbuke zamani na kuwa walikatiliwa sana na kunyimwa nyonyo na wanaanza kuzishika. swala la pili mbona mnawashutumu walevi wanaowashikashika wakinadada haswa mabarmaid wakati walevi kama mnavyo sema sio akili zao na mshikwaje je mbona anakuwa ametuli wakati akishikwa nyonyo au makalio wakati yeye ana akili zake timamu hapo mi naona wakulaumi ni yule anayeshikwa na si yule aliyekunywa pombe.