Ukibet kwa Akili pesa ipo tatizo woga mbaya sana sasa hapa ningeweka 50,000 ningekamua 900,000 ila ukiliwa sasa unaweza kuonekana chizi ukatembea unaongea peke yako njia mzima....Kubeti ni zaidi ya kazi
nani anabusha!.....?MIMI SINA BUSHA View attachment 917453View attachment 917454
betting ni noma jamaa,ni sawa na mtu aliye kwenye duara,kuna cku nilikuta msg kwenye cm sikuamin,unaweza kupga hela ila usiwe na mawazo nayo,bet kisha sahau ,nilipanga mkeka nashangaa mkeke wa timu kibao unakubali wa timu chache unakataa na hela ishaingia,ukipga hela nyingi toa sadaka itakusaidia kulinda bahati zako.
bet kistaarabu, maana usile za mboga.Yeah tunabeti kwa bidii
sawa bwana mkubwa,waambie pia wawape fomula za maisha kwenye hayo makongamanoProfesa Agnes uliyehudhuria kongamano la jana pale UDSM unamsikia huyu dogo??? ...tehtehtehtehtehtehteh
Ulipiga ngapi aisee?betting ni noma jamaa,ni sawa na mtu aliye kwenye duara,kuna cku nilikuta msg kwenye cm sikuamin,unaweza kupga hela ila usiwe na mawazo nayo,bet kisha sahau ,nilipanga mkeka nashangaa mkeke wa timu kibao unakubali wa timu chache unakataa na hela ishaingia,ukipga hela nyingi toa sadaka itakusaidia kulinda bahati zako.