Nimepata mtoto hafanani kabisa na mimi

Nimepata mtoto hafanani kabisa na mimi

Kwa hadithi yako huyo mtoto anaasilimia 70 za kuwa wako labda iwe siku hizo hizo za hatari 5 baadaye aliondoka kwako
 
Haiwezekani akawa mjamzito kisha akaingia period, kwa kua alikuja kwako akiwa kwenye period, akamalizia hapo kwako na mkashirikiana hadi siku za hatari basi huyo mtoto ni wako... kuhusu kufanana sio lazima kwani yeye sio mashine ya photocopy ila nikutoe wasi wasi kadri mtoto anavyokua hua anabadilika utashangaa mtakuja kufanana hata kutembea.

He he he, maana mwanamke hawezi ku fake period?

Kitendo cha mwanamke kuja na period hapo kina malengo.

Hamjui wanawake nyinyi, kila kitu chawezekana.
 
Anaweze kuingia period kuna kitu kinaitwa implantation bleeding, muda mchache siwezi kukufafanulia Google it.
Hicho ulichosema hua sio damu nyingi kama ya MP, hua ni vidamu vidogo sana kuonesha kua yai limefika kwenye Uterus, ila case ya huyu ni kua mwanamke alifika akiwa kwenye MP na hadi mzunguko wa siku 28 wanaujua...... Mtoto ni wake period.
 
2.Je kuna possibility ya mwanamke kujifungua mtoto ambaye kwa asilimia kubwa haufanani nae?
Hio haipo mtoto lazima utafanana nae walau kiasi chake, mfano macho, masikio, pua, mdomo, vidole wengine hadi sura kabisa anakuchukua anakua km wewe lakini wengine huchukua sura za mama zao kingine subiri mtoto akue kwanza
 
He he he, maana mwanamke hawezi ku fake period?

Kitendo cha mwanamke kuja na period hapo kina malengo.

Hamjui wanawake nyinyi, kila kitu chawezekana.
Hayo ni mawazo mabaya, kama alikuja na Mimba hawakuhesabu siku za ujauzito tangia wao wakutane hadi mtoto kuzaliwa?.... Condom ingetumika huu uzi usingekuwepo sasa hivi.
 
He he he, maana mwanamke hawezi ku fake period?

Kitendo cha mwanamke kuja na period hapo kina malengo.

Hamjui wanawake nyinyi, kila kitu chawezekana.
Niliamini ni period maana nilivyopiga siku ya tano akiwa ajamaliza siku niliona kabisa damu nyingi tu zinatoka.
 
Back
Top Bottom