nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Doctors naombeni ushauri.
Nimechanganyikiwa nahitaji msaada wenu.
Kuna mwanamke mwaka jana nilirudiana muda mrefu baada ya kuachana nae, sasa alikuja kwangu tar 21 akiwa katika siku zake alipomaliza tu tarehe 25 nikaanza kushiriki naye.
Huyu mzunguko wake ni wa siku 28 hivyo kuanzia siku ya kumi hadi 17 ambazo zinaonekana ni za hatari niliendelea kushiriki nae tendo.
Nimekuja na maswali mawili naombeni msaada wenu wa kimawazo.
1. Je mwanamke anaweza kupata ujauzito na akapata siku zake?
Nimeeuliza ili swali maana huyu mwanamke wangu sikuwa na mahusiano nae kwa muda mrefu hivyo sifahamu historia ya nyuma amepitaje.
2. Je kuna possibility ya mwanamke kujifungua mtoto ambaye kwa asilimia kubwa haufanani nae?