HahahahahahaNawazia uzi utakavyokuwa cha kuhofu kisiwepo.
Chizi saana...Ajabu alikuwa akicheka na mimi nacheka!!
Naumwa bwana bado sijui nafuu kidogo hata sijui mimi na ugonjwa mwingine naona unataka kujipenyezaUnaendeaje wewe eti dada
Haya maisha bwana...Chizi saana...
Pole sana jamani...Naumwa bwana bado sijui nafuu kidogo hata sijui mimi na ugonjwa mwingine naona unataka kujipenyeza
Khaaa ugonjwa mwingine unaojipenyeza ule uliotoka kwako nao wa kwenda hospital ule jamaniPole sana jamani...
Shida ubishi, nenda kwa hospital
Kama G wetu my dear
Oooohh
Ila mwambie wakipishana kidogo watulie wayamalize...
Mabaharia wapo humu kusubiriaa betriii ichomolewe




akiona hivyo ujue alikuwa na furushi kubwaaSimjazi walaa
Huo ndo ukweli, wanaume wapo humu jf waowaji, wenye mapenzi ya dhati na waaminifu
Nisimulie hebu
Mb zangu zitaisha au umechoka kuniona humu jf
Ila kuna wanaume hawapo serious kabisa.
Napenda kufuatilia dates saana hii ilinivunja mbavu.. kama una mb pita uisikilize.
Cc Sky Eclat Sakayo
Heaven Sent
Hahahaha ,duhWallah ni mwanaume mzuri sijutii wanaume humu wapo ila wa kulenga na manati
Kwa hiyo unaturingishia ama
Unataka tukusaidie nini hebu jaribu kuwa muwazi !




Halafu umewasha TV hata hufwatilii kinachoendelea.. acha mapenzi yatawale tu.Haya maisha bwana...
Ujue ni matamu sana, imagine unacheka na simu yako tuu
Halafu umewasha TV hata hufwatilii kinachoendelea.. acha mapenzi yatawale tu.







Ukisikia uchawi ndo huu sasa!
Wewe baki na ubaharia wako, wanaume waamifu wapo jf, tena wengi sana!
Cc@Njopino