Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
- Thread starter
- #81
Sana unaweza hata kulala njaaLove is so beautiful![]()
Sana unaweza hata kulala njaaLove is so beautiful![]()
Mtaachana tu.

Wanga si watu wazuriMi kuna watu wanaombea hii kitu ila ni kama wananibariki![]()
Naona umebadili gia angani jamani..
Tuombeane uzima jamani dear!

















.Wanaume wa jf ndo hao hao wa mtaani au hawa wana kijiji chao somewhere else??Hawa wanaume wa Jf mimi huwa nahisi wanatania sio rahisi kuwa amini
Tunamaanisha mdada na hatuna utani kwenye hili hususani mimi sipendi ujinga ujinga kabisa. Na nakemea vikali wanaume wote wa humu wanaotania tania wanawake warembo kama wewe.Hawa wanaume wa Jf mimi huwa nahisi wanatania sio rahisi kuwa amini
Yule mdogo wako nitafanya mpango aangukie mikononi mwangu ili tuwe mashemejiSana unaweza hata kulala njaa



Wote tumekomaa akiliNi jambo jema. Ila baadae msije leta mambo ya kutuma VAR hapa jukwaani.
Naona mashairi kama ya kwenye wimbo uliobora....1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf
2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,nywele zake ni za ukoka,nyeusi ti kama kunguru.
3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, kama bustani iliyojaa manukato na manemane.
5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu
6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta
7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,kwa ujumla anapendeza.
Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,enyi wana Jamii forum
#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, Nakuahidi heshima na unyenyekevu, nitakuwa faraja yako wakati wa majonzi, Msaidizi wako wakati wote, Aibu yako itakuwa aibu yangu, shida yako shida yangu, nitakuwa mshauri asiyechoka, Nitakuwa heri kwako siku zote za maisha yetu, Asante kwa kunipenda
#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
Kama G wetu my dearWapo kweli
Amen sweetheartHeri nawatakia,
Malengo kuyafikia,
Mema kuyapalilia,
Mabaya kuyafukia,
Mungu awabariki.
Ndiyo,vioja vinavyokutana navyo pm sijui ni mtu mmoja ananichezea na id mbali mbaliWanaume wa jf ndo hao hao wa mtaani au hawa wana kijiji chao somewhere else??