Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,296
- 40,084
Huyu mupenzi yake yipo na hasara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wivu tu baba bulubendi.
Huyu mupenzi yake yipo na hasara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wivu tu baba bulubendi.
Ttcl kama inasumbua network jamani...nilikuwa nayo nikaitupaMwenzio nimehamia ttcl najiachia tu tena ya chuo voda washenziii
Hongera bbyWallah ni mwanaume mzuri sijutii wanaume humu wapo ila wa kulenga na manati
Ndiyo,vioja vinavyokutana navyo pm sijui ni mtu mmoja ananichezea na id mbali mbali
Ziko waziTûpo ndio tatizo piyemu mmefunga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaa Jf kama Isidingo mwendo wa matukio tu[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Nshawahi kudate Id mbili mtu mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hahahaha ,duh
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji7] I love youu G wangu"asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, Nakuahidi heshima na unyenyekevu, nitakuwa faraja yako wakati wa majonzi, Msaidizi wako wakati wote, Aibu yako itakuwa aibu yangu, shida yako shida yangu, nitakuwa mshauri asiyechoka, Nitakuwa heri kwako siku zote za maisha yetu, Asante kwa kunipenda"
He must be smiling while reading this, Lovely
Hahahahahaha
Mwenzetu naye kalenga na manatii
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji7] I love youu G wangu
Hadi nalia
Mbona kama mmempenda mtu mmojaaNgoja tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi mwaka umepita sasa
Kupanick lazima mama tunashemeji yetu humu nae G ujueShunie usipanic
[emoji1787][emoji1787]
Huyo kanichoma moyo ikabidi nitaje initial ya Mupenzi wangu
Kwakweli aseme ukweli tuHahahahaha uwiiii mambo tena hayaa hebu aseme vizuriii wake ni G yupiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kajina kakoMama G yupi huyuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana haka ka jina humu ni kangu [emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji81][emoji81][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Hahahahaha uwiiii mambo tena hayaa hebu aseme vizuriii wake ni G yupiiii