Nimepata mpenzi Jf

Nimepata mpenzi Jf

Nakushauri mkiwa na Baby hakikisha PICHA isiwe utamaduni wenu..usipendelee sanaaa kupiga piga mapicha maana IPO siku picha yako mwenyewe utakua unaiogopa.
kwa kukazia mnapokua pamoja usipendelee sana matumizi ya smart phone..na hta kama itawalazimu kupiga pcha basi hakikisha unakaa vizuri pcha itoke vizuri,usikae hovyo hovyo Jitahidi mpige wote picha usikubali kupiga pcha mwenyewe.

Mi nimemaliza...nikiwa kama katibu wa Kamati.
 
Ni wivu Tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji4], niache kwani nikijinyonga hasara kwa nani[emoji1][emoji1]
Naomba kukuuliza..

Umeshamfungulia dunia tayari?
Kama bado aisee hizo sifa ulizomwaga hapo juu zi pause kwanza maaana asije kuuliza wauzaji wa ile dawa maarufu kwa wanaume #Al kasus# migongo ni tatizo!
 
Back
Top Bottom