Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Kile kikao cha 7800 kiliishaje shostHongera sana my dear!
Mungu akulindie, mpendane na mheshimiane na baadae muwe mke na mume!
Kile kikao cha 7800 kiliishaje shostHongera sana my dear!
Mungu akulindie, mpendane na mheshimiane na baadae muwe mke na mume!
Ebu fanya kesho bwana kabla haujaenda kanisani.Hahahahahaha
Mie sijakwamaa nachochea kuni hukuu...
Lini nikuandikie na wewe eti
Huyo unayemtag ndo babe my dear
Ndugu wajumbe si tuliwaambia tumeunda tume maalum.Kile kikao cha 7800 kiliishaje shost
AimennnnNaunga mkono Mada.
Waache kujumlishia wenzao waaminifu waliopo humu.
Kuna Watu wema, wazuri wenye sifa zote humu ndani.
Ngoja Hadi tufunge ndoa ndio wataamini Kama humu Kuna wanaume sio wajinga
me naongea na wewe unaanza kuita wasio husika kigori bana, huachagi tu mambo yako.
Bado hakijaisha my dear...Kile kikao cha 7800 kiliishaje shost
Ok, ENDELEA KUJIFANYA UNATUJUA VIZURI WANAUME KULIKO TUNAVYOJIJUAWapo mabaharia kama wote jf, lakini pia kuna watu wema, usiconclude kwa namna wewe ulivyo basi wote wapo hivyo, generalization ndo inafanya hata watu wema kuonekana wabovu
Kama baharia hata mtaani wapo
So no matter ni wapi umekutana na mtu, mtu mwema atabaki kuwa mwema na baharia baharia ova
Niliamua kukuacha na huyo, mie kushare siwezi kwa kwelime naongea na wewe unaanza kuita wasio husika kigori bana, huachagi tu mambo yako.
Aisee! Nimepitwa na ubize banaNdugu wajumbe si tuliwaambia tumeunda tume maalum.
Wenzio washafanya mambo umebaki wewe.
TusisahaulianeAimennnn
Usinisahau dear, mie maarufu kwa kucheza kwaito


..Ebu fanya kesho bwana kabla haujaenda kanisani.
Uniachie comments niwe nakuna tumbo tu.








Tusisahauliane..
Yeyote Kati yetu akianza Basi amualike mwenzie









Tuendelee kukaza mpaka kielewekeBado hakijaisha my dear...
Wajumbe wamechachamaa haswaa
Aisee! Nimepitwa na ubize bana
Naimani tume itatenda haki
Hili tumelimaliza hata siongezi neno usije geuza.
Usijali kabisaa..
Kesho ukiamka unakutana na uzi matata!!!
AiiimeeennnnTuendelee kukaza mpaka kieleweke