Ila kuna wanaume hawapo serious kabisa.
Napenda kufuatilia dates saana hii ilinivunja mbavu.. kama una mb pita uisikilize.
Cc Sky Eclat Sakayo
Heaven Sent
Asante
Kipengele cha pili cha ushauri, naendelea kukitafakari
Umeona eeeh!Ifike stage uzi wa jf members waliooana uanze ili hawa wakuja waelewe [emoji1787]
Ishukuriwe jf ilinikutanisha na ubavu
Hayupo serious kabisa..... nadhani baada ya kuambiwa I have three kids akaona wapo Dunia tofauti.[emoji28]hicho kicheko cha huyu kaka sikiwezi
Mbona kama kaka anawahi kuclose deal anataka mbunye huyu he is not even bothered kuwa step father wa watoto watatu extra [emoji1381][emoji3601]
Elewa kwamba Shetani hana uwezo wa kumuingia Mwanaume bila kupitia kwa Mwanamke,Sema wewe siyo sisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] Usiogope jina mkuu, hutaamini macho yakoBreki ya kenge duuh, hivi utakua husband material Kwa hili jina kweli[emoji3] [emoji3]
Ni suala la muda tu [emoji23][emoji23]atazipata pole au hongeraMkuu tumpeni pole dada yetu.
GoodMungu akishanitangulia siwezi rudi nikilia
Hahaaa, haya husband to be nakuja makutano soon[emoji30] [emoji30][emoji23][emoji23] Usiogope jina mkuu, hutaamini macho yako
NakungojaHahaaa, haya husband to be nakuja makutano soon[emoji30] [emoji30]
Hee, una speed ya jet[emoji3] [emoji3] mambo mazuri hayataki haraka ntakuja next year JanuaryNakungoja
Haya ZechHongera sana mama, kuwa makini tu
Endelea kutafutaJamani mimi Mbona sipati
Yeah[emoji817]Wapo sana ukiacha na hivi vitoto vya juzi juzi jf
Hakuna jema lisilo na changamoto, na changamoto tumeumbiwa binadamu si wanyamaHawezi kuizidi chipsi mayai na mirinda nyeusi uyo.ukipata vikwazo utuletee mlejesho pia