Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
Nacheka kama mazuri ebu Dina niache kidogo
Shunie nisaidie wake ni yupi asije kuwa wangu mimi huyuuu 🥴🥴🥴🥴 usichekee
Nacheka kama mazuri ebu Dina niache kidogo
UchocheziHahhaha kama nagonjeka sitakiwi kucheka eti
Mimi wala sio baharia mkuu,niko upande wa wale waoaji humu.Pambana na ubaharia wako, let her enjoy the love.
Dunia haizunguki kichwani mwako.
Hahahahaha ebu mfate pm akutumie picha halafu utuletee mrejeshoShunie nisaidie wake ni yupi asije kuwa wangu mimi huyuuuusichekee
Mimi sio mchochezi kama wewe jamaniUchochezi
Sitaki damu zinirukie mimi jamani..Tuleft sasa mimi nipo kitandani ila Dina tunamuachaje sasa bila kujua huyu G wake au
EwaaaaaKama mimi au sio!
Dar es salaam
NdiwoooDada pm tenaa![]()
Ebu usijiamini hivyo labda kadanganyaUhuuuu nimepumuaaa yaweee
Shunie presha imeshukaaa
Vumilia dada..
Naamini sio G wako jamani



wangu kaja MwanzaHallelujahUhuuuu nimepumuaaa yaweee
Shunie presha imeshukaaa
HahahahahahaSio Yeye wake yupo Darwangu kaja Mwanza
HapanaaMimi sio mchochezi kama wewe jamani
Tuleft sasa mimi nipo kitandani ila Dina tunamuachaje sasa bila kujua huyu G wake au
Hujapata ushauri wa cutelove ?1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf
2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,nywele zake ni za ukoka,nyeusi ti kama kunguru.
3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, kama bustani iliyojaa manukato na manemane.
5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu
6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta
7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,kwa ujumla anapendeza.
Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,enyi wana Jamii forum
#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, Nakuahidi heshima na unyenyekevu, nitakuwa faraja yako wakati wa majonzi, Msaidizi wako wakati wote, Aibu yako itakuwa aibu yangu, shida yako shida yangu, nitakuwa mshauri asiyechoka, Nitakuwa heri kwako siku zote za maisha yetu, Asante kwa kunipenda
#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
Atakuwa G ni mmoja huyooMwisho Y
![]()