Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

sioni hajaya kuendelea kumchunguza wakati nshajua lengo lake, dawa ni kumpotezea mazima huyu, akawatapeli walimu wenzie hukooo
Kama ni mwalimu, yuko sawa. Shida yao wanaijua wenyewe, na wao ndio wahesabu kura [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakimuuliza nape 2020 hawatarudia tena upuuzi

Ila na wewe mtoa mada unaonekana ulikua tayari unamtumia tuvochavocha. Hakuna mti usiokuwa bwana [emoji484] [emoji484]
 
Rudisha hio Mbuzi bandani!!!!!!

Chagua mbusi ingine dada, Wanaume wamejaa Tafuta mwanaume aliestaarabika, Muombe Mungu akuletee mwanaume mwema,hata kama sio mume mwema,awe mwanaume mwema tu,kuliko hio Mbuzi Ngoja upate bwana anaeleweka.

Narudia tena; Rudisha hio Mbuzi bandani
Mkuu naona umetuvua nguo kabisaa... Kwa Hiyo wanaume kwa sasa tumekua mbuzi
 
Kama ni mwalimu, yuko sawa. Shida yao wanaijua wenyewe, na wao ndio wahesabu kura [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakimuuliza nape 2020 hawatarudia tena upuuzi

Ila na wewe mtoa mada unaonekana ulikua tayari unamtumia tuvochavocha. Hakuna mti usiokuwa bwana [emoji484] [emoji484]
ni mwalimu, na aliniambia ana vitega uchumi vingi tu anavyovitegemea na sijawahi kumuomba chochote toka tumeanza mahusiano, sikatai kusaidiana kupo ila sio kwa mizinga hii
 
ni mwalimu, na aliniambia ana vitega uchumi vingi tu anavyovitegemea na sijawahi kumuomba chochote toka tumeanza mahusiano, sikatai kusaidiana kupo ila sio kwa mizinga hii
Huyo ni mkweli kabisa. Vitega uchumi vingi, kimojawapo ni wewe. Maana kumbuka kitega uchumi kazi yake ni kuzalisha/kukuza uchumi/mtaji na sio vinginevyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom