Nimepata mgeni wa ajabu sana

Nimepata mgeni wa ajabu sana

Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaribushe alale chumbani kwako, atatulia tu.
 
Alipokuja ulimwambia jisike huru upo nyumbani, ukamuwekea na pombe (vinywaji) utadhani ni grocery , unavyo mkaribisha ulikuwa hujui tabia zake?, not issue mpe kazi za kutosha awe busy usimpe zile zinahusiana na pesa utalia, mpe kama za ufugaji hapo home asafishe mabanda, akamue maziwa etc..

Ikishindikana mpe makavu live huyo mdogo wako /mrudishe kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamshitaki polisi kwa kukuubia atakimbia mwenyewe Bila kufukuzwa
 
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app

ANA FOUR YA MWISHO HALAFU KUNA TETESI HAJAFANYA HUO MTHIHANI! PLEASE EXPLAIN, AU NA WEWE UMEKUNYWA HEINEKEN
 
Kupata div 4 kweli ni shida.. hayo mambo yote unamzushia sababu kafeli..
Angekuwa na div 1 kali hata usingefungua thread.

Mvumilie tu mkuu maana watanzania ndio jadi yetu kutoana..inawezekana hata wewe hujasomeshwa na baba ako mzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi vitabia wanavyo sana watu wa dar. hapo ukute kaambiwa dogo aje atafte chuo huko kakubali sasa kaona maisha magumu ukute ana chumba na kijisebure sasa kama anakosa uhuru yaani mgeni afike siku moja anywe heinken box moja na st anna afu avute sigara sebureni hahaha huyu jamaa muongo sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom