Nimepata mgeni wa ajabu sana

Nimepata mgeni wa ajabu sana

Nimecheka sana huu uzi, eti mgeni wa ajabu 🤣🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti unaishi na pampula_...nimecheka sana...
.
 
kiasi kwamba hata umeshindwa kuona Ni Mdogo wako !!.

Anyway, sio inshu sana ,,, Wee km kaka yake Unachukua jukumu gani japo jitihada zozote ambazo zitafaa kumuokoa mdogo wako ?? Je umurudishe aendelee kua mvutaji na mnywaji ambapo mwisho atajingiza mazingira mabaya ,afe..kisha Utalia??? .
Au utafurah kuondokewa na Mzigo ?? .

Mimi nina Shangazi mmoja tu, Nakwasababu ya Mali na kudekeza watoto wake, mwanawe wa mwisho mpaka akajiingiza ktk uteja ivo ivo, LKN Hakuwahi kumkataa wala kumfukuza naakahangaika naye mpaka Jamaa yuko poa kabisa nasasa ni Raia mwema.
.........
 
Niliwahi kumtwisha box la mchanga limefungwa kwa ustadi wa hali ya juu mno mtoto wa mama yangu mdogo sababu ya mambo kama hayo. Toto unakuta limelelewa kama kuku la kisasa, jingajinga ,haliwezi hata kufua nguo zake, vurugu tu
 
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu na wewe unatakiwa utimuliwe na mkeo hapo kwako, mana naona majukumu yamekushinda kama baba, fukuza mbali hicho kituko au unataka mpaka amjaze huyo bukta wako (dada wa kazi) ndiyo akili ikukae sawa
 
Hapo kama unashindwa kumwambia live aache tabia zake basi chonga plan na Dada wa kazi mwambie atapomtongoza aseme anakuogopa ww kwa maana na wewe una maslahi kwake
Sasa kwa jinsi Huyo mgeni alivyo wa ajabu ataenda kumwambia mkeo kuwa unachepuka na Dada wa kazi then mnamtimua maana anakuwa kaja kugombanisha ndoa za watu
 
Mkuu, mambo mengine bw!
Sasa maana ya 'mwanaume ni kichwa cha familia' ni nini tafsiri yake?

Nilitarajia hapo utueleze hatua za msingi ulizokwishakuzichukua tayari, baada ya kukuta vululuvululu za namna hiyo nyumbani kwako kabla ya kuleta kisa hiki kwa wana jamvi.

Ndipo sasa nasi wadau tungeongezea nyamanyama za kujazia pale kwenye mapungufu.

Kwanini umeleta kisa chako bila kueleza hatua ulizochukua?

Lakini nadhani kisa hiki kimefanyika kwa jirani yako, ila wewe unakiigiza ili uone diplomasia ya Jf imekaaje kwenye migogoro ya namna hiyo?

Kama ni wewe kweli, basi ni mtu dhaifu sana ambaye hauwezi kuchukua maamuzi yoyote ya maana bila kushinikizwa!

Tena hata hizi comments zetu tunazoshea na wewe, nina wasiwasi kuna siku waweza kutugeuka na kujikosha kwa kumuonesha jinsi gani sisi hatumpendi huyo kibaka, ili wewe hapo uonekane ni mwema sana kwake.

Umekuwaje mteke namna hiyo kwenye maamuzi ya issue ndogo kama hiyo?

Ebwanaeeh? Limalize mwenyewe na mdogo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna 'mbwinu' ya kukupa hapo ...unachotakiwa ni kubwuni mbunwu.... I mean umbwuni bwinu.. Ohh sorrry.. U mbuni mbwunu ya kulitimua..
 
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nilipokua mdogo sikupenda kwenda kwa watu
By the way mchane tu kama kidume. Usimgukuze mwambie hizo tabia hutaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom