Nimepata mchumba au kombora?

kwakweli mm imeniuma MTU kabisa ishu ndogo hivyo anaitangaza jf? mwanaume kweli? uapana huyu ni wakiume anaevaa suruali! coz nawaza kama hawezi Ku handle ishu ndogo hivyo anaweza kweli kupanda ndege akamuone mchumba wake mikoani? wanaume fanyeni kazi bana hizi ishu ndogo hatuwezi kufika
 
Wewe ulokole wake haunaga nafasi kwenye suala la pesa.huyo ni muhuni kama wahuni wengine tuu.na nimwizi pia.ila kutengeneza historia si mbaya...nisehemu ya kujifunza pia.anyway we tuma kwa leo,ili siku nyingine ujifunze.....jpl njema mkuu.
 
asante kwa stori ya UWONGO
 
Kazi tunafanya lkn punguzeni speed nyie wanawake
 
Wewe ulokole wake haunaga nafasi kwenye suala la pesa.huyo ni muhuni kama wahuni wengine tuu.na nimwizi pia.ila kutengeneza historia si mbaya...nisehemu ya kujifunza pia.anyway we tuma kwa leo,ili siku nyingine ujifunze.....jpl njema mkuu.
Nyie tafuteni tu wachumba humu ila mi nimenyoosha mikono
 
Kama uliwah kumpata mtu akakutumia 50 ya nauli ya taxi kutoka hapo ulipo na kwenda km 3 tu i swear atakua labda ni mwanamke sio mwanaume huyo
nilitalajia uje na Uzi usemao hivi! wanawake mnajishusha thamani, aliniomba 50 elfu ya nauli, kwa umbali wa km 3, kwa dharau nikamtumia kumpima ,cha ajabu akuja!

kwa Uzi kama Huu ningekutunuku jina la " mr gentleman"

kuwa gentlema haiitaji phd
 
Mida bado
Haya jiandae Azana inakaribia. Msaidieni mwenzenu elfu 50 amwone mchumba wake. Kajoin 17 septl 16, kaanza kudate miezi kadhaa anadai ana ID nyingi. Nimemwambia sisi tunaangalia uliyotumia kupost kilio chako.
 
Mwache huyo naye analaumu alipoangukia!mwanga wote huu panataka tochi hapo
 
nilitalajia uje na Uzi usemao hivi! wanawake mnajishusha thamani, aliniomba 50 elfu ya nauli, kwa umbali wa km 3, kwa dharau nikamtumia kumpima ,cha ajabu akuja!

kwa Uzi kama Huu ningekutunuku jina la " mr gentleman"

kuwa gentlema haiitaji phd
Uko vzr kimawazo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…