Nimepata mchepuko usio na gharama

Hiyo hasira unaitoa wapi? Raha nipate mimi hasira kwenu na Ichana kulikoni? Mmeshikilia uzi kama vile mmealikwa lazima mchangie vile! Imekugusa tulia. Umekosa windo nini!
 
Last edited by a moderator:
Achana na hao makahaba wana hasira zao huko, si bure watakuwa wamekosa mawindo wamekuja hapa kutoa stress wanakuta mwenzao hana swaga za kunichuna imewauma ile mbaya.
 

Hii Ni kama hadithi tu, hauwezi ukawa na mchepuko ukautangazia uma. Ni hadithi nzuri lakini haina mafunzo
 
Hasira hii si bure lazima umepanic kukosa buzi mawindoni huko! Makahaba mna shida! Poleni sana.
 
Last edited by a moderator:
labda kitanda unamaliza vzr hongera sana, una faid sana!!!
 
Hasira hii si bure lazima umepanic kukosa buzi mawindoni huko! Makahaba mna shida! Poleni sana.

Kahaba akikosa windo utamjua tu ana hasira mbaya hata kwa mada isiyomhusu.

Hahahahahaha kaka dada utawajua tu.yaan wao kaz yao n kugombana na hao makahaba wao wakgombe wanaume..mnakaz sana kutaka kuwajua hao makahaba.poleniiiiii
 

Si ajabu atakua mtu mzima huyo na umri kakuzidi au ni mwanamke mwenye kipato lakini hana mvuto / mvutoless. Sio bure. #JustThinkingOutLoud

Ila sio siri jamani michepuko mingne ina raha sanaa, tena ukute ni mwanamke/mwana mama mrembo mwenye mihela yake. Unaweza tamani kuhamia mazima. Yanajua mapenzi balaa alaf hayasumbui.
 
Hasira hii si bure lazima umepanic kukosa buzi mawindoni huko! Makahaba mna shida! Poleni sana.

Kweli aisee. Mtu na maisha yake ye yanamuwashia nn ??? Ka mind soko lao limeingiliwa. Achana nae mkuu we fanya yako. Tena atakuwa wale makahaba wa uwanja wa fisi wa buku na jero. Makahaba classic hawako hvyo. Hahahaha
 
Q w e r t y u i o
a s d f g h j k l
z x c v b n m
 
kipimo umpimiacho mwenzio, ndicho utakachopimiwa......mkeo yu faragha mida hii.....ngamia wewe.....
 
Kumbuka zana kaka maana mara nyingi michepuko hainaga kukumbuka zana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…