Nimepata mchepuko usio na gharama

Nimepata mchepuko usio na gharama

Mzinga wake uyo atajumliSha bill zote alizo kuwa anakulipia huwajui wanawake wewe apo saw a anaweka Bank ananjia atakayo kupa utarudisha tu
 
Makubwaaaaaaa!

Kubwa la Maadui kulikoni kushangaa? Msela wangu nae ana mchepuko ambao haingii gharama yoyote ile. In fact mchepuko unamletea msela gifts kibao na msela huwa anaendaga nazo huko njia kuu! It is the ways of this cruel world! Kina dada wengine wanachohitaji ni kuwa tu na mwanaume as and when they need no matter what!
 
Vp kuhusu ukimwi nao analipia bili full au mnachangia?
Sina wivu ila nataka kujua tu
 
Huyo atakuwa sugarmammy au mwanamapinduzi mtarajiwa
 
Back
Top Bottom