Nimepata mchepuko usio na gharama

Nimepata mchepuko usio na gharama

Nimemchunguza ndo maana mpaka nikashawishika kuchepuka naye. Kama yakijitokeza mengine baadaye si nasepa tu. Sina mkataba naye wa kujifunga hapohapo.

Mmmmh! Mkeo akipata mchepuko unao mshower na hela utafanyaje
 
Cheap is always Expensive!! Hapo ni suala la muda Tu.
 
Siyo kulelewa tunashare cost. Wanaolelewa ni vijana wanaohamia kwa masugar mumy na kugharimiwa kila kitu. Mimi nina familia mambo yangu yapo super hamna njaa watoto wanasoma shule nzuri. Kwa mchepuko ni burudani ya ziada tu.

Na mkeo nae lazima akajifurahishe tu abaki na wewe tu we ni baba yakee, unahalalisha michepukoo etii
 
kazi nzuri si kigezo, watu wanakazi za maana kuliko hata yake na biashara tele hapo kuna kitu cha ziada bwana utakuja tena kutuomba ushauri
 
Hutakuwa na uhuru wa kuamua xo xubiri ukute katangulia pedeshee half nawe mpenda mteremko usubutu kukoroma utatimuliwa na stupid za kutosha.
 
Mara nyingi michepuko inakuwa na usumbufu wa hapa na pale katika suala la Matumizi yaani bajeti yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata bajeti ya familia nyumbani. Michepuko ina maudhi ya mizinga ya hapa na pale na mingi ni ya kushtukiza tu. Lakini mie nimebahatika kupata mchepuko usio na gharama au cheap karibu na bure kabisa mpaka nijishtukie mwenyewe na hasa tukitoka out kwenye maeneo ya starehe kuchangia bills za eneo la tukio.

Hana gharama kwa sababu ana uwezo mzuri wa kipato na ana kazi yake nzuri tu pamoja na miradi ya hapa na pale pia hana tamaa ya mizinga ya hapa na pale. Kiufupi hana dhiki si kama wanawake wengine makahaba wakimpata mwanaume wanachukulia kama kitega uchumi chake a.k.a ATM.

Usiniulize kwa nini sijabaki njia kuu, kule hakuna matatizo wala mapungufu yoyote nimechepuka tu kama entertainment ya ziada tu.

Jiandae kununulia gari an kumlipia kodi ya nyumba we hujui wasichana wa aina hiyo siku ukinyonywa pumbu zitakutoka tu.
 
Siyo kulelewa tunashare cost. Wanaolelewa ni vijana wanaohamia kwa masugar mumy na kugharimiwa kila kitu. Mimi nina familia mambo yangu yapo super hamna njaa watoto wanasoma shule nzuri. Kwa mchepuko ni burudani ya ziada tu.

Da wewe ngoja ajeakuwekee cha Tanga uone kama hutotelekeza familia na kuhamia hapo mwisho wa siku watu kama wewe hupoteza hata kazi.
 
Nimemchunguza ndo maana mpaka nikashawishika kuchepuka naye. Kama yakijitokeza mengine baadaye si nasepa tu. Sina mkataba naye wa kujifunga hapohapo.

Unadhani ambao huwa wanasahau familia zao wanakuwaga na mikataba eeh? Huwa wanaanzaga kama wewe wanaishia kuhamishia majeshi kwa mchepuko. Uliza wenzio wakwambie. Chezea michepuko wewe...
 
Hata mkeo ni mchepuko wangu, na tuna mpango tukubambike mimba
 
Ukisoma between the lines utangundua aliyeleta sred hii ni mvulana wala sio mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke nyumbani.
Una uhuru wa kuropoka ili kifurushi chako kisiishe bure. Jiachie mkuu.
 
Kama kawaida, speed starts from okm/hr!

Tusubiri, mapenzi ni kama mpira, hizo ni dakika za mwanzo tu, matokeo muda wowote yanabadilishwa!

Mpira usio na refa, mwamuzi nani?
 
Unadhani ambao huwa wanasahau familia zao wanakuwaga na mikataba eeh? Huwa wanaanzaga kama wewe wanaishia kuhamishia majeshi kwa mchepuko. Uliza wenzio wakwambie. Chezea michepuko wewe...

wanapatikana wapi hao? mie nataka nihame kwangu maana mke michosho tuu
 
Back
Top Bottom