Nimepata mchepuko usio na gharama

Nimepata mchepuko usio na gharama

Hata njia kuu yako nimchepuko wa mwenzako na ndo maana hakuna matatizo yoyote
 
unajisifu hayo tu, we subiri akuleelee, hata pesa we omba tu mtoto wa mama, akija kukwambia umwongezee milioni nane akomboe mizigo yake bandarini usianze kulialia!
 
Duh Hii michepiko mkuu . Vp ujue upande wapili nao hivohivo unachepuka
 
Nawe chuna huko ili uonge kwingine .Changamkia fulsa hiyo kabla haijatoweka.
 
Mara nyingi michepuko inakuwa na usumbufu wa hapa na pale katika suala la Matumizi yaani bajeti yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata bajeti ya familia nyumbani. Michepuko ina maudhi ya mizinga ya hapa na pale na mingi ni ya kushtukiza tu. Lakini mie nimebahatika kupata mchepuko usio na gharama au cheap karibu na bure kabisa mpaka nijishtukie mwenyewe na hasa tukitoka out kwenye maeneo ya starehe kuchangia bills za eneo la tukio.

Hana gharama kwa sababu ana uwezo mzuri wa kipato na ana kazi yake nzuri tu pamoja na miradi ya hapa na pale pia hana tamaa ya mizinga ya hapa na pale. Kiufupi hana dhiki si kama wanawake wengine makahaba wakimpata mwanaume wanachukulia kama kitega uchumi chake a.k.a ATM.

Usiniulize kwa nini sijabaki njia kuu, kule hakuna matatizo wala mapungufu yoyote nimechepuka tu kama entertainment ya ziada tu.

Pumba tupu..!!!!!!!????????
 
unajisifu hayo tu, we subiri akuleelee, hata pesa we omba tu mtoto wa mama, akija kukwambia umwongezee milioni nane akomboe mizigo yake bandarini usianze kulialia!

hah hah kwanza hapo ye ndo anaonekana cheap na si mwanamke..
 
Ha ha ha kwa kipi kwa kulipiwa bills?

Be serious even a lito bit au kwa usinzi wa kumwacha mkeo wa ndoa?
Au kwa kuja kujisifu jf kuwa una mchepuko

Sikohoi kwa lolote mkuu

Yaani kwa kumuita jamaa ni Mario tayari hicho ni kikohozi tena cha TB bora hata ingekuwa unabanja.mtu kakuthibitishia kuwa main road no problems ila amechepuka just for fun as a man, wewe unaanza oooh marioo, Manawake bhana.. Jealous tu hamna lolote
 
Siyo kulelewa tunashare cost. Wanaolelewa ni vijana wanaohamia kwa masugar mumy na kugharimiwa kila kitu. Mimi nina familia mambo yangu yapo super hamna njaa watoto wanasoma shule nzuri. Kwa mchepuko ni burudani ya ziada tu.

We jamaa upo vizuriii..! Nakupa big up provided main road hakuna tatizo
 
Yaani kwa kumuita jamaa ni Mario tayari hicho ni kikohozi tena cha TB bora hata ingekuwa unabanja.mtu kakuthibitishia kuwa main road no problems ila amechepuka just for fun as a man, wewe unaanza oooh marioo, Manawake bhana.. Jealous tu hamna lolote

huyo ni mario tu, mwanaume huwezi kujisifia free p! mwanaume majukumu, hata kama mwanamke ni mwepesi wa kufungua pochi yake wewe unatakiwa ujue jinsi ya kuonesha kwamba unamjali siyo kukimbilia jf kuja kufungua thread kujisifia free p, hao ndiyo utakuta hata bar wanapenda sana offer, round zinazunguka yeye amechuna anakunywa za wenzake tu!! ati ana mke naye huyu, hana mke ni mwanafunzi wa sekondari tu huyu!
 
Kwa sababu yako Mimi nakaa kimya..!
 
hah hah kwanza hapo ye ndo anaonekana cheap na si mwanamke..

umeona eeh, we mwenzako kila mnakopita ni yeye tu anafungua pochi we umebana kiwaleti chako makalioni halafu unapita kujisifia!....anatuabisha sana.
 
Mara nyingi michepuko inakuwa na usumbufu wa hapa na pale katika suala la Matumizi yaani bajeti yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata bajeti ya familia nyumbani. Michepuko ina maudhi ya mizinga ya hapa na pale na mingi ni ya kushtukiza tu. Lakini mie nimebahatika kupata mchepuko usio na gharama au cheap karibu na bure kabisa mpaka nijishtukie mwenyewe na hasa tukitoka out kwenye maeneo ya starehe kuchangia bills za eneo la tukio.

Hana gharama kwa sababu ana uwezo mzuri wa kipato na ana kazi yake nzuri tu pamoja na miradi ya hapa na pale pia hana tamaa ya mizinga ya hapa na pale. Kiufupi hana dhiki si kama wanawake wengine makahaba wakimpata mwanaume wanachukulia kama kitega uchumi chake a.k.a ATM.

Usiniulize kwa nini sijabaki njia kuu, kule hakuna matatizo wala mapungufu yoyote nimechepuka tu kama entertainment ya ziada tu.

dah hongera sana,na kaukimwi na kenyewe kanaingia bila gharama,hadi raha
 
huo ni mwanzo naona mtego wake unaenda vizur angekwambia mapema si ungemuona kahaba
 
Kwa sababu yako Mimi nakaa kimya..!

Ha ha ha kwa sabubu ipi ukaee kimya

Mimi ndo wafikir utaniweza sitaki inzi kabisa mkuu asubuhi hii
Soma comment za wadau juu sio kunitolea povu

Mwanaume uhudumiwe then unataka nikupe pongezi
 
Huna lolote ICHANA, we tatizo lako ni kikohozi
 
Back
Top Bottom