Hiyo hasira unaitoa wapi? Raha nipate mimi hasira kwenu na Ichana kulikoni? Mmeshikilia uzi kama vile mmealikwa lazima mchangie vile! Imekugusa tulia. Umekosa windo nini!Ukome fal* we.nan kahaba?? ICHANA unamskia ----- huyu. kahaba unamjua wewe au unamskia.kahaba aje Jf kutafta nn humu badala ya kwenda kutafta wanaume. .siajabu wewe shog@ mpenda vya bure ndo maana akl yako haijafunguka sawasaw kwa 7bu ya kupumuliwa ksogon.
Achana na hao makahaba wana hasira zao huko, si bure watakuwa wamekosa mawindo wamekuja hapa kutoa stress wanakuta mwenzao hana swaga za kunichuna imewauma ile mbaya.Very good question lady...!
1:michepuko sio deal but it just happen sometimes
2:kulipiwa bill everyday ni tatizo but cost sharing is okay
3:kama yeye anahongwa that is none of my business.
Warning: never pay much attention kwa mchepuko. The principle of michepuko inasema "No responsibilities No rights to michepuko but relationship remain constant"
Lazima umenielewa ICHANA
Mara nyingi michepuko inakuwa na usumbufu wa hapa na pale katika suala la Matumizi yaani bajeti yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata bajeti ya familia nyumbani. Michepuko ina maudhi ya mizinga ya hapa na pale na mingi ni ya kushtukiza tu. Lakini mie nimebahatika kupata mchepuko usio na gharama au cheap karibu na bure kabisa mpaka nijishtukie mwenyewe na hasa tukitoka out kwenye maeneo ya starehe kuchangia bills za eneo la tukio.
Hana gharama kwa sababu ana uwezo mzuri wa kipato na ana kazi yake nzuri tu pamoja na miradi ya hapa na pale pia hana tamaa ya mizinga ya hapa na pale. Kiufupi hana dhiki si kama wanawake wengine makahaba wakimpata mwanaume wanachukulia kama kitega uchumi chake a.k.a ATM.
Usiniulize kwa nini sijabaki njia kuu, kule hakuna matatizo wala mapungufu yoyote nimechepuka tu kama entertainment ya ziada tu.
Hasira hii si bure lazima umepanic kukosa buzi mawindoni huko! Makahaba mna shida! Poleni sana.Ukome fal* we.nan kahaba?? ICHANA unamskia ----- huyu. kahaba unamjua wewe au unamskia.kahaba aje Jf kutafta nn humu badala ya kwenda kutafta wanaume. .siajabu wewe shog@ mpenda
vya bure ndo maana akl yako haijafunguka sawasaw kwa 7bu ya kupumuliwa ksogon.
Achana na hao makahaba wana hasira zao huko, si bure watakuwa wamekosa mawindo wamekuja hapa kutoa stress wanakuta mwenzao hana swaga za kunichuna imewauma ile mbaya.
Hasira hii si bure lazima umepanic kukosa buzi mawindoni huko! Makahaba mna shida! Poleni sana.
Kahaba akikosa windo utamjua tu ana hasira mbaya hata kwa mada isiyomhusu.
Mara nyingi michepuko inakuwa na usumbufu wa hapa na pale katika suala la Matumizi yaani bajeti yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata bajeti ya familia nyumbani.
Michepuko ina maudhi ya mizinga ya hapa na pale na mingi ni ya kushtukiza tu. Lakini mie nimebahatika kupata mchepuko usio na gharama au cheap karibu na bure kabisa mpaka nijishtukie mwenyewe na hasa tukitoka out kwenye maeneo ya starehe kuchangia bills za eneo la tukio.
Hana gharama kwa sababu ana uwezo mzuri wa kipato na ana kazi yake nzuri tu pamoja na miradi ya hapa na pale pia hana tamaa ya mizinga ya hapa na pale.
Kiufupi hana dhiki si kama wanawake wengine makahaba wakimpata mwanaume wanachukulia kama kitega uchumi chake a.k.a ATM.
Usiniulize kwa nini sijabaki njia kuu, kule hakuna matatizo wala mapungufu yoyote nimechepuka tu kama entertainment ya ziada tu.
Hasira hii si bure lazima umepanic kukosa buzi mawindoni huko! Makahaba mna shida! Poleni sana.
Utakohoa sana mwaka huu.
Akhsante sana mkuu. Atakaeniponda ujue ana wivu tu.
Ulilazimishwa kuoa?