Nimepata kazi

Nimepata kazi

Mi sina comment nyingine zaidi na hayo wakuu walizotoa hapo juu, cha muhimu ni kubadilika na kuacha tabia zile za primary za nani kashika namba moja.
 
Uje nikuelekeze matumizi yake. Usisahau fungu la kumi kwa Mungu na sio Guest na pombe

hahaha! fungu la kumi atalijulia wapi wakati hata hajamshukuru mungu!!? kaishia kujigamba.
 
Mtu na ka diploma anafoka kama povu la ngiri. Angekuwa na degree hata moja tu kusingetosha. Ama kweli.
 
Back
Top Bottom