Nimepata jamani!!!!!

Shost, we una mume nije kupga hodi?! Nadhani utanifaa...

aaah bana sibiria hata ka mwezi kapite yani ndo kwanza ndoa inaanza nawewe unaomba uhawara ..........ngoja utapata ila sharti la kwanza uwe na mke na pili umuachie mwingine naye achakachue kidogo ka mke kako
 
hapo red ulikusudia sidiria au subiria?
 
Kila la kheri, japo mambo yameenda kama mwendo wa kichina.

mBONA MCHINA NDIO DILI SIKUHIZI.... mtu akienda dukani akiuliza eg. kiatu sh ngapi ...anaambiwa laki moja na mchina ipo elfu ishirini (remember its look the same) anasema nipe mchina we vip bana hiyo ni deal kwa sasa mjomba.....mtu anakuwa na **** , ziwa, kope, kucha vyote mchina bado utasema mchina hana deal hapa town we acha bana
 
aaah bana sibiria hata ka mwezi kapite yani ndo kwanza ndoa inaanza nawewe unaomba uhawara ..........ngoja utapata ila sharti la kwanza uwe na mke na pili umuachie mwingine naye achakachue kidogo ka mke kako

mbona wanizuia bahati mwenzako? Duh, wataka ufaidi pekee.... Nipgie ngoma ndogo kwa SHOST...Pls
 
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.

Wakuchakachua siku moja??? Mbona ndogo sana kusema unamlove huyo baba watoto mtarajiwa??? Hebu angalia vizuri aisee!!
 
nasubiri kadi ya mchango wa harusi,mimi nitakuchangia

Bado kuna watu wana fikra za kuchangiana kwenye harusi duh

Wakuchakachua just be careful..Love with your eyes wide open. Listen careful to your inner-self, don't say every voice you hear is from GOD nope it can be deceptive from devil also. Dont get married out of desperation , why rush ? take time to ponder your choices and let GOD confirm it day by day not by mere photos or calls.
Good Luck.
 
Ulipotea ndugu......karibu tena.
 
biashara asubuhi bibie jioni mahesabu.
one day yatosha sana tu kumzimikia mtu

i mean it dear,
Sidhan kama decision will take more than a day!
anaoneka kuwa responsible Men na kama nilivyosema all factors will reman constant na sitoangalia sura!
bali uhalisia wa maisha.........
 
Ckuhizi hatuchangii harusi!

Nachukua fursa hii kwa niaba ya mods wote kuwatakia maisha mema.
Mzae watoto 20 tu, 10 majike (yawe ma-CD ujengewe majumba) na madume 10 (yawe majambazi uletewe mahela ya haja)

God bless
 
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.

hallow baby,
nilikuwa nasubiri tu wadau humu wajikanyage na nione ni namna gani wanavyopenda kudandia vya watu!
Nipo mama, waeleze waaache kabisa kukufatafata na kukusumbua,
tupo pamoja sasa, nothing gona put us apart!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom